Klorokwin..

Pitishia Libya afu Igunga kwa Rostam Aziz.....
Hahahaha lolz Ulikuwa unakuja direct kutoka Columbia Lakini wale wa Jamaica wanaoleta siwaamini Sana ..lolz
 
mkuu naogopa sasa, yani binti anakuletea 'maziwa', kama haitoshi anahakikisha 'mkongojo wako' uko right side

Mtume si-Mama!!
Kinachokuogopesha hapo ni nini?

Maziwa?............. Ya ng'ombe
Mkongojo?.......... Wa Mti.....
Afrodenzi?.......... Wa babu
 
Yesu maria na yosefu!!!!!!!!!!!!!!!aisee....:clock:
MTM.. Jamani si siku yako ya kuzaliwa ilikuwa jana..Kwa kweli we ni mmoja kati ya million 10. Nway usisome kati kati ya mistari sana Dear lolz
 
mkuu naogopa sasa, yani binti anakuletea 'maziwa', kama haitoshi anahakikisha 'mkongojo wako' uko right sideMtume si-Mama!!
Jamani MTM acha kuwaza hivyo.. Babu hataki pressure ..
 
Orayt..........thats my girlie........ afu ni kwanini leo hujanipa shkamoo yangu?

Shikamoo babu... naona uko mzima wa afya...

ngoja tumtafute acid arudi

Hope you give us an intro shem...


Hi ahsadii

hebu vua basi hiyo hijab nione uzuri wa lips zako

Kama umeshindwa shiba kwa haya macho... basi ndio wale ukona
lips utataka kuona zaidi ya hapo...lol.. kua mpole..

Hahaha! nawe ulipo potea alisema hivihivi.


Co-worker hii issue ya kuangalia saana. Isije ikawa ni zile pesa... zilikua nyingi saaan??
 
Mnatumisi tule tujamaa twa kushangilia au mnammisi yeye mwenyewe...
 
Co-worker hii issue ya kuangalia saana. Isije ikawa ni zile pesa... zilikua nyingi saaan??
Hahaha! hujambo Aisha,inawezekana maana kwenye simu hapatikani ngoja nipite kituo cha Mabatini jioni labda ntapata maelezo.Kama mgao wako haujafika imekula your side co-worker.
 
Hahaha! hujambo Aisha,inawezekana maana kwenye simu hapatikani ngoja nipite kituo cha Mabatini jioni labda ntapata maelezo.Kama mgao wako haujafika imekula your side co-worker.


Co-woker sitakuelewa kabisa khaa! yaana wakati wa research mle raha niangalie hata mpanga msinipe? tutafika am telling you...lol
 
Jamani hii dawa ya ucheshi na
kuondoa stress za maisha imeenda wapi??
Ni kwamba hawaitengenezi tena??
au Asprin, Tablet na Fellow Tablets wameitoa kwenye biashara..
nataka kujua ....
Asanteeni ....



heheheeh wamenipa umod facebook! nitalejea honey baada ya miezi kazaa ya probesheni ya umod, kwahakika nilikumiss mpaka nikajishtukia sku moja waifu wa jirani yangu namuita Afrodenzi. Khaaaaa! kweli kupenda sawa na ukimwi, namaanisha hakuna dawa!

pokea dedikesheni hili, nina hakika warembo kazaa watapoteza uhai baada ya kuona nimekudediketia hili songi.

 
Last edited by a moderator:

hivi nyinyi hamuangalii CNN? mbona kila wikiendi narushwa laivu. Majuzi nilimpaisha invizibo katikati ya programme, kulaleki!

Itakuwa tatizo la umeme, wanashindwa kucharge simu ili waone jf.

Kijana ukiona nyumba yako imezingirwa na polisi usishangae, ni kosa kubwa sana kumfananisha hollywood klorokwini na wakosa umeme.

Klorokwin bwana yuko selo alishikwa pale mitaa ya Kona Baa baada ya kuondoka na mdada mmoja akashindwa kumlipa, ndio natafuta hela nikamtoe kule Tandale anakoishi wamegoma kabisa kumchangia

hehehe ankal bana! yule kabwela wa maeneo anakupakazia mbaya sana, anasema raba yake hujarejesha, halaf pia anakipakaza juzi ghetto uliondoka na colgate yake. Khaa! kasema ukitia guu tena getto anakunadia mwizi. Kimewaka aisee!


hehehe fellow tablet bana! umenikonfyuzi na uporoto bana! Uporoto mpaka leo anaishi uraiani kwa msamaha wa mkapa!

Babu me miss Klorokwin sana.. Asprin inadunda tu sijui niongeze dozi.. Au nibadili kabisa.. Nasubiri ushauri wa Doctor ..

hakyababu wewe lazima niuze laptop nikununulie wigi. Khaaa!

Mi hapo ndo wivu unapotakaga kuniua......... huyu swahiba wangu anakupaga nini? Limjamaa lina zali kweli asee....mbona mi hunimisigi?

Kufa tugawe urisi bana! heheheeh urisi wa chupa mbiili za value

Ngoja nami nifanye jitihada narudi na feed bak...

Hivi Lizzy hakukuambia? khaaaa! Lizzy kweli nuksi!

Mmmhhhh babu... Sisemi.... We muulize siku ukim visit Jela..Ila mpaka arudi ntabaki hivi... 🙁

Si unajua yule bwana kwa propaganda hivi Hashycool naye walifanikiwa kumtoa Uhamiaji alipokuwa anashikiliwa maana alikuwa hana passport

mnashauriwa kumsahau Hashy kabisa hapa JF kwani majuzi tu kesi yake imezidi kuripuka baada ya wazazi wake kumkana hazarani.


Kloro nipo nae mpwapwa, computer yake haishiki network.

Halaf pia waambie kwamba umekatafuna kamshahara kangu kote! khaaa! Wale ambao hamjaenda mpwapwa naomba mcancel tripu zenu, Husninyo anachuna kama kiama kesho vile! khaaa! nilikuja na kufuli nane nimeuza sita zimebaki 2 tu.

Huyu jamaa alienda na yule mpiga filimbi wa hamelini.....hataweza kurudi cause alizama mazima baharini...

hehehe Kamanda Kaizeri bana! juzi nakuona bodi ya mikopo ya walemavu wakati hauna hata ulemavu bana! Dah!


Conclusion: waheshimiwa msinitafute kipindi hiki na miezi kadhaa ijayo, niko holidei kwenye space.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…