Klorokwin..

Mi hapo ndo wivu unapotakaga kuniua......... huyu swahiba wangu anakupaga nini? Limjamaa lina zali kweli asee....mbona mi hunimisigi?
Mmmhhhh babu... Sisemi.... We muulize siku ukim visit Jela..Ila mpaka arudi ntabaki hivi... 🙁
 
Afu nani tena anakuuzi wakati niko around? sema nimhamishie kikojoleo chake kwenye paji lake la uso.........
 
Afu nani tena anakuuzi wakati niko around? sema nimhamishie kikojoleo chake kwenye paji lake la uso.........

ha ha ha.... Babu, ukisoma tu sig yangu utagundua hajaniudhi... wori not babu...
when really needed AshaDii kwa mbio zooote kwako... hapa nikitaka kuweza
wacha nifanye kwanza hii ninayochangia kidogo ndani kwangu....lol
 
Dah!!! Halafu inabidi niende na mkalimani wale mapolisi wanaongea kilugha tu, halafu nimeambiwa Klorokwin hajala siku 2 inabidi niende na chakula kabisa ngoja nimfanyie donation ya kumnunulia chakula lolz

Mkalimani awe afrodenzi au mamamdogo.
 
ha ha ha.... Babu, ukisoma tu sig yangu utagundua hajaniudhi... wori not babu...
when really needed AshaDii kwa mbio zooote kwako... hapa nikitaka kuweza
wacha nifanye kwanza hii ninayochangia kidogo ndani kwangu....lol
Orayt..........thats my girlie........ afu ni kwanini leo hujanipa shkamoo yangu?
 
Poa...... nami ngoja nimtafute wangu wa kunimisi
Haahahahha Babu usinune aee naomba.. Mie kila siku nakuletea ugoro Na maziwa... nahakikisha mkongojo.. Upo upande wa kulia wa kiti chako.. Lakini khaaaaa umeanza kuwa na jeuri.. Naona sababu unawengi wa kuwakagua.. Na umetutupa wajukuu wa zamani.. Kwa hiyo nime nuna 🙁
 
Jamani hii dawa ya ucheshi na
kuondoa stress za maisha imeenda wapi??
Ni kwamba hawaitengenezi tena??
au Asprin, Tablet na Fellow Tablets wameitoa kwenye biashara..
nataka kujua ....
Asanteeni ....

i really miss klorokwin, he is one of my favourite
 
Wajukuu wa zamani ni orijinale........ hatupwi hata mmoja......! Wewe tena?
 
ngoja tumtafute acid arudi
 
nipo juzi, jana na leo..........
 
ha ha ha.... Babu, ukisoma tu sig yangu utagundua hajaniudhi... wori not babu...
when really needed AshaDii kwa mbio zooote kwako... hapa nikitaka kuweza
wacha nifanye kwanza hii ninayochangia kidogo ndani kwangu....lol
Hi ahsadii

hebu vua basi hiyo hijab nione uzuri wa lips zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…