KLH "Live" Jumapili - Ripoti toka Butiama

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,391
39,484
Siku ya Jumapili tutakuwa na matangazo live kujadili yale yatakayokuwa yamejiri kutoka Butiama. Tuna vijana wetu kadhaa ambao wanatarajiwa kuwasili mapema Jumamosi asubuhi kuweza kuanza kutuandalia ripoti ya yale yote yanayojiri.

Utaweza kutusikiliza "live" kupitia Bongoradio.com au kwenye Ubroadcast.com (download player na weka station 10383) kuanzia saa nane za mchana EST (-5GMT).

hear-me-live-black.gif
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom