KLH Exclusive: Victor Kimesera live

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,422
39,660
Nitakuwa na mgombea wa Chadema huko Kiteto Bw. Victor Kimesera baada ya kama dakika 20 hivi kupitia bongoradio.com wote mnakaribishwa. Na kesho tutakuwa na interview mbili moja nitawaambia saa moja kabla nyingine ni ile ya Dr. Njozi!!! Both exclusive!
 
Tuletee ya interview ya wa CCM. HALAFU FANYA NA JENNIFER DIAZ juu ya mteja waka aliyejua sababu ya Bush kuvamia Iraq. huyo dada yuko Florida uwe unaleta na habari za marekani.
 
Tuletee ya interview ya wa CCM. HALAFU FANYA NA JENNIFER DIAZ juu ya mteja waka aliyejua sababu ya Bush kuvamia Iraq. huyo dada yuko Florida uwe unaleta na habari za marekani.

nipatie contact za huyo wa CCM maana nimewabembeleza wakubwa zako hakuna anayetaka kutoa namba... nipatie na huyo wa FL ...utakuwa umetoa msaada mkubwa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom