Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,809
- 34,193
Tutegemee hilo nalo kuibuka kwenye bunge la mwezi wa nne. "Mh. Spika tunapozungumzia wawindaji haramu hata Yanga wanahusika, tumeshuhudia wakiua Simba uwanja wa Taifa na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa.
Spika: Waziri wa maliasili na utalii msijibu!
Waziri: Mh. Spika napenda kuhakikishia bunge lako tukufu kuwa simba kuliwa na Yanga ni halali na wana kibali cha kumwinda kwa zaidi ya miaka 80 sasa.
Wabunge: makofi wawaaaa wawaaa wawaaa!!!