Niliwah kuleta Uzi humu na nikasema mwamnyeto, Edmund john , n.k hawafai kubaki Yanga sc, nikaishia kutukanwa na kuitwa mjinga.
Leo nitawasanua Tena , max nzengeli,anacheza nafasi isiyokua yake kiuhalisia ,sio Central midfielder, nor box to box , ni no 10 yanga wanapaswa kutafuta viungo asilia...