Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Klabu ya Simba imesaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya Bilioni 38,120,400,000 na Kampuni ya JAYRUTTY kwa ajili ya kutengeneza na kusambaza jezi na vifaa vyenye nembo ya Simba.
Mkataba wa Simba SC na JAYRUTTY Investment tofauti na kutoa fedha lakini pia atajenga uwanja ambao utabeba mashabiki 10,000 mpaka 12,000 uwanja utajengwa Bunju.
Lakini pia JAYRUTTY Investment watanunua Bus jipya aina ya Irizar, watajenga ofisi mpya kama makao makuu ya Klabu.