Aman iwe nanyi
Mlio kalibu na tv mtupe kinachoendelea wakuu
LONDON BOY
YaaaaniJamaa waoga kama wanaoga nje. Mpaka wafunge ndio wanatokea
Dreamliner imenyakwa kwa RamaphosaYANGA 1 Township 0-Mungu ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania
Kwa hiyo?Dreamliner imenyakwa kwa Ramaphosa
50/50 japo yanga ameruhusu sasa kushambuliwaGame ipoje kwa ujumla?
Yanga mkishinda tutaweka wapi nyuso zetu!!!