KKKT Wazidi kumkaba koo Makonda

KKKT Wazidi kumkaba koo Makonda

Makonda ni mpuu.zi mmoja tu, sijui kwanini kanisa linampatia Platform alafu anatumia Platform hiyo kulikejeli kanisa pamoja na watumishe wake..
Atakuwa anawatumia machawa ndani ya kanisa kupata airtime. RC walishapiga marufuku wanasiasa kupewa airtime kanisani hata kusalimia mana wakipuyanga inaonekana na kanisa wapo pamoja!
 
.
 

Attachments

  • 12106267_521609908008489_526580475_n.jpg
    12106267_521609908008489_526580475_n.jpg
    15.6 KB · Views: 1
Bashite ni punguani kwelikweli no doubt
Yeye ana Wizara yake ya Michezo, kaenda Mwanza kaamua kufanya kazi tofauti kabisa ambazo ziko chini ya Wizara nyingine na kuna Waziri wake. Kama siyo upunguani ni nini?

Serikali yenye Rais na Waziri Mkuu kimyaaa. Kama vile hawakuona wala kusikia chochote kutoka kwa yule punguani.
 
Makonda ni mpuu.zi mmoja tu, sijui kwanini kanisa linampatia Platform alafu anatumia Platform hiyo kulikejeli kanisa pamoja na watumishe wake..
Acha aendelee kupata nafasi ili aendelee kujionyesha vile alivyo PUNGUANI.
 
Yeye ana Wizara yake ya Michezo, kaenda Mwanza kaamua kufanya kazi tofauti kabisa ambazo ziko chini ya Wizara nyingine na kuna Waziri wake. Kama siyo upunguani ni nini?

Serikali yenye Rais na Waziri Mkuu kimyaaa. Kama vile hawakuona wala kusikia chochote kutoka kwa yule punguani.
Makonda ni zero
 
Back
Top Bottom