KKKT waraka wa Xmas: Kama unampenda Mungu huwezi kumtesa mwanadamu mwenzio, na kuwanyima Uhuru wa Kikatiba wa kukutana

Jisadie Kwanza Mungu ndio atakusaidia madicteta, wauaji, majambazi ndio hao hao kila siku tupo nao makanisani nao wanaomba Mungu awasaidie katika kazi zao.....

Mimi napendekeza tuchukue hatua sio kulia lia kila siku Mungu pia katuchoka.
 
Mungu anasingiziwa kuwepo tu.

Angekuwepo, madikteta wasingeweza kuwepo.

Imekuwaje Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wite na upendo wote aumbe ulimwengu ambao madikteta wanaweza kuwepo?



Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu aliumba binadamu mwenye utashi wa kufanya aonacho ni chama japo anatoa pendekezo la nini anatamani mwanadamu awe. Hii imemfanya binadamu kutumia vibaya 'abuse' mbaraka wa utashi tuliopewa.. Hatimaye udikteta na roho mbaya na mabaya mengi yakapata upenyo.
 
Mungu

Mungu aliumba binadamu mwenye utashi wa kufanya aonacho ni chama japo anatoa pendekezo la nini anatamani mwanadamu awe. Hii imemfanya binadamu kutumia vibaya 'abuse' mbaraka wa utashi tuliopewa.. Hatimaye udikteta na roho mbaya na mabaya mengi yakapata upenyo.
Alishindwa kuumba watu wawe na utashi wa mazuri tu, mabaya yasiwepo kabisa?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo, na habari za kuwepo kwake si hadithi za uongo za watu tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii KKKT wametunga tu ili kupinga mwenendo wa Mh. Rais JPM, sbb KKKT wengi CHADEMA. Biblia haina mambo ya uhuru wa kikatiba au nini.
Correct, kama Uhuru wa kukutana hawana hapo kanisa kwao pia hawaendi?
 
Huwezi kuta anaongelea Chadema. Unajua 2015 they had plan kuwa it was there time kuwa lazima mlutheri aingie Ikulu by hooks and krooks. Sasa yaliyotokea walichagua mahali pasipo riziki ambapo hata Mungu aliona kuwa hapa atatesa watu wake. Sasa hawataki kukubali. Lakini pia ndo hao walikula mrungula ili kumpigia kampeni lowasa. Alipohama ccm wote wakahaMa usione wanaongea hivyo they have paini ya kukosa. Na kwa hasira hizi hawatakuja kupata. MTAZAMO,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiranga,
Sio kweli, Mungu yupo. Lakini tatizo letu ni kuwa pamoja na kuwa Mungu ametupa utashi na akili ya kutatua matatizo yetu bado na sisi tunasema tunamwachia Mungu. Hapa ndipo tunapomuudhi zaidi Mungu. Sasa akili katupa za nini??

Kibaya zaidi Mungu huwa anawapa madikteta umri mrefu ili watubu na wamrudie....tukisema tunamuachia Mungu basi tujue ni hadi siku Dikteta Jiwe ajisikie kutubu au Mungu achoke kumsubiri.
 
Tungekuwa ka"Kiranga, post: 33832411, member: 13377"]
Alishindwa kuumba watu wawe na utashi wa mazuri tu, mabaya yasiwepo kabisa?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo, na habari za kuwepo kwake si hadithi za uongo za watu tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
Tungekuwa kama mbuzi tu. Yaan tungekuwa kama programed creatures. Hii ingeharibu maana halisi ya kuwa binadamu.
 
Ukwel mchungu huo
I have a very serious concerns with this Bishop, kila mahubiri yake yana direct connection na siasa na hasa kuponda utawala wa awamu ya tano!

Nafikiri ni too much politicians than gospel preacher! Sawa siasa ni sehemu ya gospel but to him is too much bana! Tusiponde tu maaskofu wanaosifia tu serikali bila kukosoa, tuwe macho pia na maaskofu wakosoaji tu! Mbaya zaidi madhabahuni!

Kama umejaa mahaba ya kisiasa na vyama hutonielewa!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom