KKKT waraka wa Xmas: Kama unampenda Mungu huwezi kumtesa mwanadamu mwenzio, na kuwanyima Uhuru wa Kikatiba wa kukutana

Manyanyaso dhidi ya wanadamu wengine kilio chake humfikia Mungu haraka na Mungu hujibu kwa mapigo makuu. Ccm jifunzeni na badilikeni, mwelekeo wenu tuendako sio kuzuri kwenu.
 
Xmas ndio kidudu gani?
Hebu toeni hapa lugha za kihuni.
Kama uliweza kuabdika paragraph nzima ulishindwa vipi kuandika neno kamili (Christmas)?.
Nyie ndio mnaoliharibu hili taifa.
 
Tunasoma kwenye maandiko moja ya kazi ya manabii ilikuwa kukosoa watawala. Manabii walitumwa sana kukosoa wafalme. Si kazi ya nabii kusifia watawala kwa sababu watawala ni jukumu lao kutenda mema.
 
Hii KKKT wametunga tu ili kupinga mwenendo wa Mh. Rais JPM, sbb KKKT wengi CHADEMA. Biblia haina mambo ya uhuru wa kikatiba au nini.
Biblia Takatifu imeandikwa huwezi kumpenda Mungu usiyemuona ilhali ukimchukia Binadamu unayemuona kwa macho huo ni uongo katika Amri kumi za Mungu aliyomshushia Musa Mpende jirani yako kama nafsi yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I have a very serious concerns with this Bishop, kila mahubiri yake yana direct connection na siasa na hasa kuponda utawala wa awamu ya tano!

Nafikiri ni too much politicians than gospel preacher! Sawa siasa ni sehemu ya gospel but to him is too much bana! Tusiponde tu maaskofu wanaosifia tu serikali bila kukosoa, tuwe macho pia na maaskofu wakosoaji tu! Mbaya zaidi madhabahuni!

Kama umejaa mahaba ya kisiasa na vyama hutonielewa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Alichozungumza huyo Baba askofu ni kweli au sio kweli?tuanzie hapo kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama huna la maana la kuandika uwe unapita kimya kimya badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani. Haki ya mtu haina chama.

Hii KKKT wametunga tu ili kupinga mwenendo wa Mh. Rais JPM, sbb KKKT wengi CHADEMA. Biblia haina mambo ya uhuru wa kikatiba au nini.
 
Back
Top Bottom