KKKT DMP kuondoa Spika kubwa kwenye Makanisa yake ili Kudhibiti makelele, yasema kupigiana makelele ni " Ushamba"

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,023
142,073
Kanisa la KKKT DMP limesema litaondoa Spika kubwa kwenye Makanisa yake yote kuitikia wito wa NEMC wa kupambana na Uharibifu wa Mazingira

Kwa sasa takribani Makanisa 9 ya KKKT DMP yana Kesi NEMC zilizofunguliwa na Majirani zao

Naye askofu wa KKKT DMP Dr Malasusa amesema wakati mwingine haya maspika ni dalili za " Ushamba" kwa sababu hata huko kwa wenzetu tukisafiri hatuyakuti haya mambo

Dr Malasusa ameagiza maspika ya Azania Front kuondolewa mara moja

Source: Upendo TV
 
Safi sana KKKT
 
Na wale wengine waache kupiga makelele kwenye vipaza sauti alfajiri. Waumini wanazo alarm kwenye simu zao.
 
Tuanze kusali kimoyomoyo tuwapo ibadani.
Kanisa la KKKT DMP limesema litaondoa Spika kubwa kwenye Makanisa yake yote kuitikia wito wa NEMC wa kupambana na Uharibifu wa Mazingira

Kwa sasa takribani Makanisa 9 ya KKKT DMP yana Kesi NEMC zilizofunguliwa na Majirani zao

Naye askofu wa KKKT DMP Dr Malasusa amesema wakati mwingine haya maspika ni dalili za " Ushamba" kwa sababu hata huko kwa wenzetu tukisafiri hatuyakuti haya mambo

Dr Malasusa ameagiza maspika ya Azania Front kuondolewa mara moja

Source: Upendo TV
 
Lutheran ingawa ni waasisi wa ulokole ila wamekuwa wahanga wa kubeba ulokole wa zama hizi bila kuchuja. Maspika makubwa hayana uhusiano na kuinjilisha ni ushamba kweli.
 
Kanisa la KKKT DMP limesema litaondoa Spika kubwa kwenye Makanisa yake yote kuitikia wito wa NEMC wa kupambana na Uharibifu wa Mazingira

Kwa sasa takribani Makanisa 9 ya KKKT DMP yana Kesi NEMC zilizofunguliwa na Majirani zao

Naye askofu wa KKKT DMP Dr Malasusa amesema wakati mwingine haya maspika ni dalili za " Ushamba" kwa sababu hata huko kwa wenzetu tukisafiri hatuyakuti haya mambo

Dr Malasusa ameagiza maspika ya Azania Front kuondolewa mara moja

Source: Upendo TV
Dah bora wameliona hili yaani nakereka unakuta watu wapo kanisani alafu makelele kibao ila ikifika muda wa kuwasema Watu wa dini zingine unakuta mchungaji anaweka maiki pembeni akimaliza anaendeleza kelele hizi dini zinajulikana hata kama hamtaweka maspika vitu vya kiimani havikuhitaji spika ili wengine wavutiwe waje. Na kuna wale kila siku wao wapo kanisani wanaomba kama vichaa wanapiga makele tu. Na hii ikawe mfano kwa ndugu zetu waislamu yale mambo ya kuamshana saa kumi na moja na kianza kusema shuka litakua sanda hebu waache kama mtu hajui muda wa ibada au hataki kusali hata umlazimishe vipi hataelewa ifike mahala tuachane na haya makelele mfano ukienda ujerumani hukuti makanisa wakipiga kelele ukifika roma hukuti mji una kelele washastaarabika. Pongezi kwa askofu
 
Naamini bibi yetu wa JF atakuwa na cha kuongea kuhusu spika za alfajiri.
Spika za alfajiri misikitini angalau ni kitu cha mara moja, sekunde nadhani 15 zimezidi 30.

Tatizo sisi Wakristo!

Wauza nyimbo vituoni
Wa injilisti barabarani
Maspika makanisani
Walokole madarasani
Waweka kwaya kwenye simu

Haya, sasa Malasula mwenyewe kasema, huko tulikoiga hiyo dini hawa practice Ukristo kihivyo!
 
Kama Wananchi hawalalamiki Huo siyo Uharibifu wa Mazingira 😀
 
Nipo Mbeya kwa sasa, Walokole wa mji huu wamejawa kiburi na kudhani maspika ndio yatawapeleka peponi. Na ukijaribu kuwaelekeza, majibu wanayotoa ni kuwa wao wanalipa kodi kama walivyo wapangaji wengine. Kwa kuwa umeme wanaunganisha kutoka kwenye nyumba ninayoishi, siku moja niliamua kutega shoti baada ya wao kuwasha muziki saa kumi na moja alfajiri (siendi mbinguni). Basi kila wakijaribu kuwasha, umeme unakata. Ndipo walikuja kuuliza shida ni nini, na sisi tuliwajibu kuwa sisi ni wapangaji kama wao hivyo wakamuulize mwenye nyumba ambaye alikuwa Dar muda huo. Jamaa walivimba kwa hasira na walisali bila ya maspika kwa siku tatu mfululizo. Tulipoamua kuwawashia umeme, adabu iliwakaa na wakawa wanapunguza sauti na hatimaye wakapunguza muda na idadi ya siku za ibada. Kifupi, hawa jamaa huwa wanakera sana na hawasikii lolote. Wanaweza wakawa wawili tu kanisani ila sauti ya muziki ni kubwa kama gari la matangazo ya chanjo.
 
Kanisa la KKKT DMP limesema litaondoa Spika kubwa kwenye Makanisa yake yote kuitikia wito wa NEMC wa kupambana na Uharibifu wa Mazingira

Kwa sasa takribani Makanisa 9 ya KKKT DMP yana Kesi NEMC zilizofunguliwa na Majirani zao

Naye askofu wa KKKT DMP Dr Malasusa amesema wakati mwingine haya maspika ni dalili za " Ushamba" kwa sababu hata huko kwa wenzetu tukisafiri hatuyakuti haya mambo

Dr Malasusa ameagiza maspika ya Azania Front kuondolewa mara moja

Source: Upendo TV
KKKT wameonesha njia. Bado misikiti ya BAKWATA inayotupigia kelele kila siku na maspika yao ya kipuuzi!
 
Back
Top Bottom