na ukionja tuuu huachi
kama kujiunga jf!!
Junk food
junk foods not acceptable!
ni jina tuu kama Makidonadi, Kentaki fraid chiken na Tenesee fraid chiken!. Natumaini utakuwa unenipata.
Dah! Mkuu pole sana, kula chakula cha aina moja kila siku hakikifanyi icho chakula kuwa junk food, nchi zinazokula ugali kwa wingi ni nchi za dunia ya tatu, ambao hata maisha yao 75% ni natural life, kulingana na maisha ya watu wa Ulaya na Amerika.Jamani msiwe mnasema kitu ambacho hata hamjui kilitoka wapi. Kati ya ugali na burger hipi ni junk food? Mzungu ukimpa ugali kila siku atasema ni junk food. Burger can only be junk food kama unakula kila siku. hebu niambie bakuli la ugali lina carolies ngapi na chicken burger ina ngapi? hapo ndo utaona nini junk food.
Jiulize kwa nini the so called healthy food is more expensive than junk food? This does not necessarly mean the production of so called healthy food is more costly than junk food. Kweli mzungu akikwambia mweusi hufikirii na wewe unakubali tu. Sishabikii burger but dont call it junk food.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pasco ndugu yangu, zile hamburg kwa kweli wanajitahidi.
Kuna siku jamaa yangu alimpeleka demu pale wa chuo flani opposite na mahakama ya kazi, demu alizifinya chicken burger mbili na vichips akazifuta zote then akashushia na sprite ya kopo! Mimacho ilimtoka jamaa! Toka siku ile anamuita MUNGIKI.
Mkuu kwa kesho napandisha uzi ,maana juzo kato nimekutana na mabinti nimewabatiza jina la YONO AUCTION MART ni hatari maana wale wamejipanga kufirisi kila mwanaume wanayekutane naye.Pasco ndugu yangu, zile hamburg kwa kweli wanajitahidi.
Kuna siku jamaa yangu alimpeleka demu pale wa chuo flani opposite na mahakama ya kazi, demu alizifinya chicken burger mbili na vichips akazifuta zote then akashushia na sprite ya kopo! Mimacho ilimtoka jamaa! Toka siku ile anamuita MUNGIKI.
Hio tenesii ni kimpira kidogo wanacheza kwenye tebo hapo yudizim.Hiyo Tenesii fraid chiken iko wapi sasa? Au ipo exclusively pale UDSM fakalti ov loo?
Acha uzushi wewe, Mayala yupo online humu JF saa hizi, click profile yake uone alukuwepo muda gani humu kabla ya kuropoka kama kasuku.Hii post ya 2012. Mwandishi hajulikani alipo hivyo hatutegemei kupata majibu. Swali, where is Mayala?