BOSS anamwambia
sekretari wake: Wiki hii
tutaenda wote Arusha
kwenye mkutano, hivyo
jitayarishe.
SEKRETARI (anamuaga
mumewe): Tunaenda na
bosi Arusha kwenye
mkutano wa wiki nzima
MUME (anampigia nyumba
ndogo): Mambo safi, wife
anaenda kikazi Arusha
jitayarishekujirusha wiki
nzima
SMALL HOUSE
(anamwambia mwanafunzi
wake wa twisheni): wiki hii
nina kazi fulani hakuna
twishen mpaka wiki ijayo
MWANAFUNZI (anampigia
simu babu yake,ambaye
kumbe ndie Bosi
aliyepanga safari ): Babu
hakuna twisheni wiki hii
nakuja kwako
BOSS anamwambia
sekretari wake: Siendi
Arusha mjukuu wangu
kapata nafasi ya
kunitembelea
SEKRETARI: Mume wangu
hatuendi Arusha
MUME: Aise mpenzi jamaa
haendi mipango
imeharibika
SMALL HOUSE (anampigia
mwanafunzi): Darasa kama
kawaida
MWANAFUNZI: Babu
twisheni iko, ntakuja wiki
ijayo
BOSS: Sekretari sorry
jitayarishe ile safari ya
Arusha iko palepale
mjukuu wangu hawezi kuja
wiki hii