Kizomba Dance

Kizomba Dance

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
16,365
Reaction score
13,156
Je Hii kitu ushaishuhudia Live ? hakika huwezi kuichukia

America ya kusini sana sana na visiwa vya Caribbean nadhani hii kitu hupendwa sana... Bongo bado hatujaicopy kama tulivyoikopy Twisti za kicongo(Zaire) na za kuzulu kwaito ila hii me nimeipenda zaidi... inaleta mshawasha na hamasa
 
Alaa Kumbe!
 
Duh! mda huo sijananilii tu! yani zero distance wengine hatuwezi
 
Back
Top Bottom