Kizazi cha nyoka ni kipi?

rubii my dia nyoka wa eden sio huyu wa leo...huyu wa leo ni yule aliyelaaniwa kuwa ataenda kwa tumbo
Pia ujauzito huanza na kimiminika
Mwisho Siri ya Eden bado ni fumbo ambalo bado linatatiza wengi
Nyoka wa Edeni anaye mzungumizia ni roho kamili iliyoubwa na Mungu
 
Ni jambo la kawaida kabisa Sikh hizi kusikia watu wakisema hiki ni kizazi cha nyoka! Ama huu ni uzao wa nyoka?
Kwanini asiwe mnyama mwingine yoyote? Kwanini awe nyoka?
Kwani ni kweli kwamba hiki ni kizazi cha nyoka?
Kilianza lini?
Kizazi cha nyoka kikoje?
Kinyume cha kizazi cha nyoka ni kipi? Au mbadala wake!!!
Majibu ya maswali yote haya yanaturudisha pale Eden kwenye tunda la mti wa kati, na wahusika wale watatu Nyoka,Eva na Adam
Tafsiri ziko nyingi kuhusiana na Siri ya tunda la mti wa kati kama tylivyoona kwenye mada zilizotangulia
Moja yenye kutoa ufunuo kwa akili za kitafiti za kibinadamu ni kwamba Eva alianza kuzini na nyoka na alipoona ni jambo jema akamshirikisha na Adam
Ni katika ngono hiyo ya kwanza ndipo mimba ya Kaini (Cain) ilitungwa!
Kwamba Kaini si mtoto wa Adam wa kumzaa...na wakati wanafukuzwa kutoka Eden tayari Eva alikuwa ni mjamzito wa Kain (uzao wa nyoka?)
Baada ya Kaini kuzaliwa, Eva alibeba tena mimba ya Abel ambayo sasa hii ni OG ya Adam na kwakweli Adam alikuwa na furaha na huyu mtoto
Tufupishe yaliyopita mpaka pale kufika kutoa sadaka kwa Mungu!
Kwanini Kain matoleo yake yalikuwa dhaifu na hayakupokelewa na Mungu?
Je ni kwa vile hakuwa uzao halisi wa Adam bali wa nyoka hivyo hakuona umuhimu kutoa kwa 'babu wa kambo?'
Je hili halipo hata leo hii? Kwamba kwenye mambo ya dhambi tunatoa zaidi na kwa furaha kuliko kwa Mungu?

Abel alitoa kama Mungu alivyoagiza na akabarikiwa...alifanya hivyo kwakuwa alijua kule ndio asili yake isiyo na mawaa achilia mbali laana kwa wazazi wake tu?
Kain kwa hasira alikuja kumuua mdogo wake na kumzika kondeni na kudanganya kuwa hajui ndugu yake yuko wapi
Tangu hapo dhambi ya kuua kuharibu na kudanganya viliingia ulimwenguni
Tangu hapo kumekuwa na vizazi viwili kizazi cha Mungu uzao wa Adam kupitia Abel na uzao wa nyoka kupitia Kaini
Unaweza kuniuliza nani aliendeleza uzao wa Abel wakati aliuawa na ndugu yake bila kuacha mtoto? Kumbuka roho haifi! Hapa dhana ya reincarnation unaweza kuona jinsi inavyojipenyeza
Enyi kizazi cha nyoka mwawezaje kusema mambo mema hali ninyi ni waovu...?(Mathayo 12:34)
Hiki ni kizazi cha nyoka....!!!
Mshana jr, wewe unachoweza ni mada za uchawi na majini. Mambo ya dini hasa inayohusu Biblia huwezi, unapotosha na unajitangazia hukumu mwenyewe maana umekuwa mmoja wa walimu wa uongo.

1. Eti Eva kula tunda kwa kushawishiwa na nyoka maana yake alizini na nyoka na akabeba mimba ya Kaini.

wacha kupotosha watu. Nyoka ametajwa kama mnyama mwerevu kuliko wanyama wote wa mwituni.

Sayansi ya kawaida, ni mnyama gani umewahi kuona ameingiliana na wanyama na matokeo yakawa binadamu?

Biblia inasema Hawa akachuma akala, akampa na Adamu akala.

Wapi ambapo na nyoka alikula tunda hilo?

Je Mungu ametaja dhambi nyingi, anashindwaje kutaja uzinzi wa Eva na nyoka lkn akataja wa Lutu na wanae?

Hebu soma hapa uelewe.
e2af7e0a9699d79e5f713d94ca8abb22.jpg

Pia baada ya kuwalaani, kila mmoja alipewa laana yake.

1. Eva-kuzaa kwa utungu
2. Nyoka-kula vumbi(kutambaa) au kitembea kwa tumbo
3. Adamu-kula kwa jasho na kufa pia.

Sasa akawafukuza edeni, ili Adamu na Eva wasile tena tunda la mtu wa ujuzi wa mema na mabaya wakaishi milele.

Kama tunda ni ngono, iweje iwe haramu kwa wanandoa walioamliwa kujaza dunia?

Soma hapa
9c3a7e0dfae5067ce2e644d8402e8068.jpg

KUHUSU KIZAZI CHA NYOKA
Nyoka alitajwa kuwa na akili sana, ndivyo ilivyo kwa wana wa Ibilisi kama wewe. Angalia umepata likes nyingi kwa upotoshaji huu, maana yake akili yako imetumika kuwadanganya wengi. Watu aina yako, wanaotumia akili na maarifa kudanganya, wapo wengi sana, ndiyo vizazi vya nyoka.
 
Asante ntamaholo kwa mchango wenye makengeza mengi na hukumu za moja kwa moja ....siwezi kukuchukia wala kukulaumu kwakuwa huu ni m chango na mtazamo wako kwangu na hao walionipa unachosema LIKES NYINGI ......
neno langu kwako... ANGALIA USIHUKUMU USIJE UKAHUKUMIWA kwakuwa chini ya jua hakuna mkamilifu LA hata mmoja ....!
 
Ni jambo la kawaida kabisa Sikh hizi kusikia watu wakisema hiki ni kizazi cha nyoka! Ama huu ni uzao wa nyoka?
Kwanini asiwe mnyama mwingine yoyote? Kwanini awe nyoka?
Kwani ni kweli kwamba hiki ni kizazi cha nyoka?
Kilianza lini?
Kizazi cha nyoka kikoje?
Kinyume cha kizazi cha nyoka ni kipi? Au mbadala wake!!!
Majibu ya maswali yote haya yanaturudisha pale Eden kwenye tunda la mti wa kati, na wahusika wale watatu Nyoka,Eva na Adam
Tafsiri ziko nyingi kuhusiana na Siri ya tunda la mti wa kati kama tylivyoona kwenye mada zilizotangulia
Moja yenye kutoa ufunuo kwa akili za kitafiti za kibinadamu ni kwamba Eva alianza kuzini na nyoka na alipoona ni jambo jema akamshirikisha na Adam
Ni katika ngono hiyo ya kwanza ndipo mimba ya Kaini (Cain) ilitungwa!
Kwamba Kaini si mtoto wa Adam wa kumzaa...na wakati wanafukuzwa kutoka Eden tayari Eva alikuwa ni mjamzito wa Kain (uzao wa nyoka?)
Baada ya Kaini kuzaliwa, Eva alibeba tena mimba ya Abel ambayo sasa hii ni OG ya Adam na kwakweli Adam alikuwa na furaha na huyu mtoto
Tufupishe yaliyopita mpaka pale kufika kutoa sadaka kwa Mungu!
Kwanini Kain matoleo yake yalikuwa dhaifu na hayakupokelewa na Mungu?
Je ni kwa vile hakuwa uzao halisi wa Adam bali wa nyoka hivyo hakuona umuhimu kutoa kwa 'babu wa kambo?'
Je hili halipo hata leo hii? Kwamba kwenye mambo ya dhambi tunatoa zaidi na kwa furaha kuliko kwa Mungu?

Abel alitoa kama Mungu alivyoagiza na akabarikiwa...alifanya hivyo kwakuwa alijua kule ndio asili yake isiyo na mawaa achilia mbali laana kwa wazazi wake tu?
Kain kwa hasira alikuja kumuua mdogo wake na kumzika kondeni na kudanganya kuwa hajui ndugu yake yuko wapi
Tangu hapo dhambi ya kuua kuharibu na kudanganya viliingia ulimwenguni
Tangu hapo kumekuwa na vizazi viwili kizazi cha Mungu uzao wa Adam kupitia Abel na uzao wa nyoka kupitia Kaini
Unaweza kuniuliza nani aliendeleza uzao wa Abel wakati aliuawa na ndugu yake bila kuacha mtoto? Kumbuka roho haifi! Hapa dhana ya reincarnation unaweza kuona jinsi inavyojipenyeza
Enyi kizazi cha nyoka mwawezaje kusema mambo mema hali ninyi ni waovu...?(Mathayo 12:34)
Hiki ni kizazi cha nyoka....!!!
Mshana jr again, mwalimu wa upotoshaji.

Majibu toka kwa walimu

Mwl. James Mhenga, kanisa la Kristo magomeni.

Habar za mchana wapendwa wote!
Kwenye hoja hii mtoa hoja amezaja dhana ambazo zimejikita zaidi kwenye matakwa yake na hadithi zisizo kuwa za Kimungu, kwa lugha nyepesi hizi ni porojo kabisa.
Kizazi cha nyoka maanake nin?
Je ni kweli tunda la mti wa katikati kwenye bustani ya edeni walilokula Adam na Eve ni fumbo lenye maana ya ZINAA?

Tunze na swali la pili:-
Adam na Eve walikuwa mume na mke yaani wanandoa waliounganishwa na Mungu kwa lengo la kuujaza ulimwengu, kwa maana kila kiumbe ambacho Mungu alikiumba aliweka mbegu ndani yake kulingana na jinsi ya kiumbe kwa lengo la kuendelea kugenerate.
Adam na Eve nao km viumbe walioumbwa na Mungu nao pia walipewa jukumu hili
Mwanzo 1:26-28 Mungu akasema "Natufanye mtu kwa mfano wetu na kwa sura yetu.... Mungu akawabariki, Mungu akawambia, 'Zaeni mkaongezeke, mkaijaze dunia...'"
Mwanzo 2 :18 Kisha Bwana Mungu akasema, "Si vyema mtu huyu (Adam) akaee pekee yake nitaifanyia msaidizi wa kufanana naye......."
Tazama Mwanzo 2 :21 - 22,23 Hakika huyu ni nyama Katika nyama yangu na mfupa ktk mifupa yangu.... Ataitwa mwanamke, mstari wa 24 "Basi mwanaume atawaacha wazazi wake na kushikamana na mkewe na watakuwa mwili mmoja. (Mstari 25)
Angalia mahusiano ya mume na mke yalianza kabla ya anguko. Anguko la mwanadamu linaelezwa mara baada ya Adam na Eve kuvunja sheria za Mungu agizo WAZITII "MSILE MATUNDA YA MTI WA UJUZI WA MEMA NA MABAYA" mlango wa pili agizo linatolewa mlango wa Tatu agizo linavunjwa "Mungu anawita Adam, Adam uko wapi? Adam anajibu niko huku nimejificha kwa maana niuchi! Mungu anamuuliza je umekula matunda ya mti wa UJUZI wa mema na mabaya?.......
Ktk Mathayo 19 Yesu anaonesha mpango wa Mungu kuhusu ndoa kuwa Mungu alianzisha ndoa kwa kumfanyia Adam msaidizi wa kufanana naye na kisha akawaunganisha kuwa mume na mke.
Sasa, je waliooana hawaruhusiwi tendo la ndoa?
Kama jibu ndiyo, Adam na Eve wangewezaje kugenerate na kuujaza ulimwengu.
Tunda lilikuwa tunda km tunda, km ingelikuwa ZINAA Mungu asingetuficha km ambavyo hakuficha dhambi ya Onani mtoto wa Yuda au Lutu alivyolala na bintize

HOJA YA PILI
Kizazi cha nyoka, maanake ni usemi unaoonesha wale wote wamgezao shetani kwa kutumia werevu kuhada kwa lengo hasi
Shetani (nyoka ibilisi) alitumia hekima (werevu, akili, maarifa) ya hali ya juu kuwahada Eve kula tunda la mti wa UJUZI wa mema na mabaya.

Mwl. Kingu Augustino, kanisa la Kristo michungwani Mwanza.

Mafundisho ya Bibilia ni ya ajabu! unaposoma usipokuwa makini na ukakosa uaminifu unaweza kuwa na majibu yasiyo na mipaka! Kwa nini? kwasababu Biblia tumejifunza imendikwa takribani miaka 1,600 lakini unaposoma unawedhan vitabu vyote ndani ya Biblia vimeandikwa na mtu mmoja ama kwa wakati mmoja kwa jinsi vinavyopata kwa mazungumzo au mafundisho yake!

Kadhalika kuhusu Habili kutokuacha uzao haya ni mafundisho ya uongo wa kiwango cha juu kwakuwa Mungu alipo amua kutupasha habari mambo haya hakuwa yanatendeka kwa usiku mmoja kwa hatua zote tunazozisoma kuhusu uumbaji ama kuzaliwa kwa kaini na Habili. Bali Mungu. kwa mf. si kwamba kaini alizaliwa tu kwa mda mfupi kisha Habili na kesho yake kaini akamuua Habili!

Lazima watu hawa waliishi wakakua wakazaliana mpaka mwingine akaingia kwenye ufugaji HIVI KAMA MIFUGO YA HABILI ILIWEZA KUZALIANA NA KUKUA MPAKA KUFIKIA HATUA YA KUMTOLEA MUNGU DHABIHU YEYE HABILI HAKUWA NA UWEZO WAKUKUA NA KUZAA WATOTO KISHA KUACHA UZAO?

Hata hivyo Bila shaka ADAM lazima alikuwa na watoto wengine kwani kazi moja wapo aliyopewa Adam ni kuujaza ulimwengu! ila linapokuja suala la kutufundisha si kila mtoto, ndugu, jamaa tulipewa habari zao kwa kina Bali Mungu alidili ama kuchimba habari mtu fulani tu! mf. Ibrahim alikuwa na watoto wengi lakini alitipa habari za kina za Isaka. kadhalika isaka azaa Esau na Yakobo lakini tumepata kwa kina habar za Yakobo. kwahiyo si watu wote habari zake zilielezwa, kama katika Sherehe za UHURU kunaweza kukawa na matukio na wasemaji wengi lakini kwenye vyombo vya Habari zikaripotiwa Habari alizoziongelea RAIS wa nchi pekee yake!

Kama walivyotangulia kusema wengine nami naamini hivyo, Uzao wa nyoka ni usemi tu unaowalenga watu wote watendao matendo kinyume na maagizo ya Mwenyezi Mungu, watu hao baba yao anakuwa ni Ibilisi Yohana 8:44 kwakuwa ibilis alikuwa muongo tangu mwanzo

Mwl. James again
Waliotajwa watatu, Cain, Seth, na Abel pia Biblia inasema kuwa kuna watoto wengi aliowaza wakike na wakiume ambao hawajatajwa majina yao
 
Mshanar, amekuambia ukweli na ndiyo injili. Mtu akizini, mwambie amezini na asipotubu atahukumiwa, mtu akifundisha uongo mwambie wewe ni mwalimu wa uongo hukumu inakuhusu. Tunafahamu anayehukumu ni Mungu, sisi tunatekeleza tu lile andiko la Isaya 58:1 "...piga kelele usiache, uwaambie watu makosa yao..."
 
Hahahahaaaa nimecheka mno hilo jina Mwalimu wa upotoshaji
Halafu unanukuu maandiko na kutoa tafsiri za kuchekesha kweli
Kisha unamnukuu huyo Mwalimu wako as if ni malaika fulani anayefahamu maandiko kuliko wote!
Kituko cha karne ni hapo unaposema Mungu alimuumba Adam na Eva kama mke na mume ....pls hebu zihurumie mbavu zangu
Nisikuhukumu lakini nikiri tu wazi kuwa una udhaifu mkubwa kwenye ujenzi wa hoja na huwezi kutofautisha mjadala na mahubiri
 
Mshanar, amekuambia ukweli na ndiyo injili. Mtu akizini, mwambie amezini na asipotubu atahukumiwa, mtu akifundisha uongo mwambie wewe ni mwalimu wa uongo hukumu inakuhusu. Tunafahamu anayehukumu ni Mungu, sisi tunatekeleza tu lile andiko la Isaya 58:1 "...piga kelele usiache, uwaambie watu makosa yao..."
Cross-serpent.jpg
tusimchukulie nyoka poa kama tunavyodhani hasa wale wenzangu na mimi wa kukariri
 
Ni jambo la kawaida kabisa Sikh hizi kusikia watu wakisema hiki ni kizazi cha nyoka! Ama huu ni uzao wa nyoka?
Kwanini asiwe mnyama mwingine yoyote? Kwanini awe nyoka?
Kwani ni kweli kwamba hiki ni kizazi cha nyoka?
Kilianza lini?
Kizazi cha nyoka kikoje?
Kinyume cha kizazi cha nyoka ni kipi? Au mbadala wake!!!
Majibu ya maswali yote haya yanaturudisha pale Eden kwenye tunda la mti wa kati, na wahusika wale watatu Nyoka,Eva na Adam
Tafsiri ziko nyingi kuhusiana na Siri ya tunda la mti wa kati kama tylivyoona kwenye mada zilizotangulia
Moja yenye kutoa ufunuo kwa akili za kitafiti za kibinadamu ni kwamba Eva alianza kuzini na nyoka na alipoona ni jambo jema akamshirikisha na Adam
Ni katika ngono hiyo ya kwanza ndipo mimba ya Kaini (Cain) ilitungwa!
Kwamba Kaini si mtoto wa Adam wa kumzaa...na wakati wanafukuzwa kutoka Eden tayari Eva alikuwa ni mjamzito wa Kain (uzao wa nyoka?)
Baada ya Kaini kuzaliwa, Eva alibeba tena mimba ya Abel ambayo sasa hii ni OG ya Adam na kwakweli Adam alikuwa na furaha na huyu mtoto
Tufupishe yaliyopita mpaka pale kufika kutoa sadaka kwa Mungu!
Kwanini Kain matoleo yake yalikuwa dhaifu na hayakupokelewa na Mungu?
Je ni kwa vile hakuwa uzao halisi wa Adam bali wa nyoka hivyo hakuona umuhimu kutoa kwa 'babu wa kambo?'
Je hili halipo hata leo hii? Kwamba kwenye mambo ya dhambi tunatoa zaidi na kwa furaha kuliko kwa Mungu?

Abel alitoa kama Mungu alivyoagiza na akabarikiwa...alifanya hivyo kwakuwa alijua kule ndio asili yake isiyo na mawaa achilia mbali laana kwa wazazi wake tu?
Kain kwa hasira alikuja kumuua mdogo wake na kumzika kondeni na kudanganya kuwa hajui ndugu yake yuko wapi
Tangu hapo dhambi ya kuua kuharibu na kudanganya viliingia ulimwenguni
Tangu hapo kumekuwa na vizazi viwili kizazi cha Mungu uzao wa Adam kupitia Abel na uzao wa nyoka kupitia Kaini
Unaweza kuniuliza nani aliendeleza uzao wa Abel wakati aliuawa na ndugu yake bila kuacha mtoto? Kumbuka roho haifi! Hapa dhana ya reincarnation unaweza kuona jinsi inavyojipenyeza
Enyi kizazi cha nyoka mwawezaje kusema mambo mema hali ninyi ni waovu...?(Mathayo 12:34)
Hiki ni kizazi cha nyoka....!!!

Mkuu Mshana, kwanza kabisa ningependa ujue kama nilivyosema hapo kabla kwamba huyo nyoka katika kisa cha Adam na Eva sio "nyoka--mnyama" ni nyoka wa tamathali za kiroho (spiritual figure of speech), kwanini nyoka na sio mnyama mwingine atumike kitamathali katika dini kuwakilisha watu waovu???---- jibu ni hili; takriban wanyama wote wanaweza kufugwa na binadamu tangu wakiwa watoto na wanaweza kushika mafundisho na hata kupoteza silka ( naturak instincts) zao za asili na kuwa watii nawapole kwaa binadamu kwa kadiri walivyofundishwa, utii na upole mambo hayo hayapatikani kwa nyoka kwa kadiri yoyote utakavyomfundisha tangu akingali mtoto, nyoka mtoto huzaliwa na sumu tayari kwa ajili ya kushambulia, nyoka saa yoyote hata uwe ukimpa chakula kila siku yeye hana urafiki ukikaa vibaya atakugonga tu, chatu wa kufuga naye anapokuwa na njaa ni hatari sana hajui kwamba wewe ndiye bwana wake unayemlea na kumpa chakula, akihisi njaa umuendee kwa tahadhari kubwa, hizo kwa kifupi ni sifa mbaya za nyoka na ndiyo maana watu Waovu na maadui wa wema kwa Watu wema wa Mungu wamemithilishwa na Nyoka, kifupi nyoka katika lugha ya kidini ni mtu muovu na adui mpinga wema.

Adam hakuwa mtu wa kwanza kuumbwa duniani;----Kwa miaka mingi watu wamekuwa na imani Potofu isiyokuwa na ushahidi popote kwamba Adamu ndiye mtu wa kwanza kuumbwa wanahusisha na sifa ya Adamu kuwa mtukufu wa kwanza kutumwa na Mungu duniani, tunaweza kusema Adam alikuwa ni mtume wa kwanza kutumwa na Mungu hapa duniani au ni mtu wa kwanza kuwa civilized katika hii dunia au ni mtu wa kwanza kupokea ufunuo kutoka kwa Mungu nk, na baada yake wakafika mitume kadhaa katika sehemu mbalimbali duniani wengine habari zao zimesimuliwa na wengine hazijasimuliwa katika vitabu vya dini.

Adamu amepata kuishi takriban miaka 6000 iliyopita katika "bustani" ya Eden huko Mesopotamia (Iraq ya kale) eneo lililopo kati ya makutano mito ya Euphates na Tigris ndiye mtu wa kwanza, muanzilishi wa ustaarabu wa leo na ndiyo maana sisi leo tunaitwa wanaadamu kwa maana hiyo tu kwamba huyo Adam ni baba yetu wa Kwanza wa kiroho, ndiye mtu wa kwanza katika Himosapiens kupokea ujumbe wa kiroho kutoka kwa Mungu wala yeye siye aliyezaa kimwili (biological reproduction) watu wote duniani, watu duniani leo tuna genetic make ups zinazotifautiana sana kulingana na mahali watu wanapotoka hivyo watu wote duniani hatuwezi kuwa tumezaliwa na huyo Adam.

Historia inasema fuvu la mtu wa kale lilivumbuliwa takriban miaka 1000,000 iliyopita huko Oldivai Gorge kwa maana hiyo watu walikuwepo hata kabla ya Adamu, linganisha miaka 6000 ya Adam na 1,000,000 ya mtu wa kale Zinjanthropus isitoshe bado hadi leo sehemu mbalimbali duniani mafuvu ya vichwa vya watu yanaendelea kufukuliwa yakionyesha yamekuwepo ardhini maelfu ya miaka toka wakipokufa.

A Possible question, kama Adam sio mtu wa kwanza kuumbwa duniani je mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa yupi???, wakati ukitafuta jibu la swali hilo pia mtu anaweza kuuliza; Kuku wa kwanza au yai la kwanza lilikuwa lipi??, mbuzi wa kwanza, bata wa kwanza, Muembe wa kwanza, Sangara, kima, nyani, Sokwe, Chatu wa kwanza ni wepi???, je hao wanyama wanaopatika duniani wametokana na mzazi mmoja yaani chatu mmoja ndiye aliyezaa chatu wote duniani???, kwakweli ni ngumu sana kujua mtu wa kwanza kuumbwa halikadhakika kujua kila mnyama wa kwanza kuumbwa ni kazi pevu isitoshe Mungu hajaainisha jambo hilo katika maandiko kwani ameona hakuna umuhimu.

Je watu na wanyama wamekujaje duniani???--- hilo ni somo jingine linalohitaji muda kulieleza.

Itoshe kusema kwamba Nyoka katika lugha ya kidini ni adui, muovu na mtu anayepinga haki kwa uwazi au kwa siri. Nyoka katika tukio la Adam ni mtu adui wa haki na mafundisho aliyokuja nayo Adam nyoka huyo ndio sawa na wale nyoka Yesu aliowaita "kizazi cha nyoka" yaani ni watoto wa maadui wa Yesu waliopinga injili yake na kisha kumtungika msalabani.
 
Itoshe kusema kwamba Nyoka katika lugha ya kidini ni adui, muovu na mtu anayepinga haki kwa uwazi au kwa siri. Nyoka katika tukio la Adam ni mtu adui wa haki na mafundisho aliyokuja nayo Adam nyoka huyo ndio sawa na wale nyoka Yesu aliowaita "kizazi cha nyoka" yaani ni watoto wa maadui wa Yesu waliopinga injili yake na kisha kumtungika msalabani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom