Kizazi cha nyoka ni kipi?

daaah watu wanadanganywa sana....
 
Wanaposema hiki ni kizazi cha nyoka, haina maana kuwa uzao wetu umetokana na nyoka, maovu yetu ndiyo yanasabaisha tuitwe kizazi cha nyoka.
 
Wanaposema hiki ni kizazi cha nyoka, haina maana kuwa uzao wetu umetokana na nyoka, maovu yetu ndiyo yanasabaisha tuitwe kizazi cha nyoka.
Umesoma post yote lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…