Kizazi cha nyoka ni kipi?

Ni kifungu gani cha biblia kinasema eva alizini na nyoka??

Mi najua eva alipewa tunda na nyoka sasa huko kizini na nyoka kuliandikwa wapi mkuu??
Ndugu unaelewa dhima yako ya kuwa hapa JF? Unapaswa kufikiri zaidi ya kufikiri jus be part of great thinkers....Bible ina mafumbo mengi....hupaswi kuisoma kama novel
 
Ngoja niwaachie wenye dini yao[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
kiungo cha uzazi cha kiume ambacho hupitisha shahawa yenye mbegu kutoka ma pumbu kupitia kifuko cha akiba kwa kuingizwa katika ku ma.
Kumbe ndoulivyooo[emoji57] [emoji57]
 
Mshana, pamoja na Kaini na Habil, Adamu alikuwa na wana wengine wake kwa waume. Hivyo dunia ya sasa ni matokeo ya watoto kadhaa wa Adam
 
Ni kweli kabisa unajua kwanini siku hizi hiki kinaitwa kizazi cha nyoka na mambo ya ajabu ajabu mengi yanaongezeka? Uzao wa nyoka unazaana na kuongezeka kwa kasi
Yeah hapo uko sawa kabisa. UZao wao unazaana sana. Maana hata mwanzoni ile bloodline ya adam walikatazwa kuzaliana na uzao wa kaini.
 
Mkuu mshana nakuelewa sana, hilo neno huwa nalisikia sana pale ambapo vijana wa siku hizi wakifanya vitendo visivyo na maadili ndio Wazee watasema Hiki ni kizazi cha Nyoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…