kizazi cha nne lazima kife na katiba yake kwa Tz mpya!

.Daniel.

Member
Oct 19, 2011
21
8
Historia na maandiko yanatuonesha kuwa; madhara ya kizazi cha kwanza yanagusa hadi kizazi cha nne! na vingine mbele endapo hakuta kuwa na mwanzo mpya.
Tz sasa tupo kwenye kizazi cha nne, tusilalamike what we are facing now,system imeishakaba, nothing will change, inflation inatisha.
Tuvumilie tujipange kwa mwanzo mpya!

Tusikosee tukauharibu mwanzo mpya ifikapo 2015! kwani itatugharimu kwa awamu nne nyingine zijazo! ama tutajikuta tunafanya mambo kama ya waarabu,tofauti itakuwa sisi tutafocus kwenye mfumo kongwe badala ya mtu!

Kizazi hiki ni cha nne ni lazima kife na katiba yake kwa Tanzania mpya.fursa ya kukiua na kukizika kizazi hiki ipo mikononi mwetu,jiandae kwa mabadiliko ifikapo 2015.

Ni lazima tufanye mabadiliko halisi,tusiruhusu kizazi cha tano na kamwe tusichanganye sera!!!!!, it will cost us kwa mara nyingine
 
Historia na maandiko yanatuonesha kuwa; madhara ya kizazi cha kwanza yanagusa hadi kizazi cha nne! na vingine mbele endapo hakuta kuwa na mwanzo mpya.
Tz sasa tupo kwenye kizazi cha nne, tusilalamike what we are facing now,system imeishakaba, nothing will change, inflation inatisha.
Tuvumilie tujipange kwa mwanzo mpya!

Tusikosee tukauharibu mwanzo mpya ifikapo 2015! kwani itatugharimu kwa awamu nne nyingine zijazo! ama tutakuja tunafanya mambo kama ya waarabu,tofauti itakuwa sisi tutakuwa tumefocus kwenye mfumo kongwe badala ya mtu!

Kizazi hiki ni cha nne ni lazima kife na katiba yake kwa Tanzania mpya.fursa ya kukiua na kukizika kizazi hiki ipo mikononi mwetu,jiandae kwa mabadiliko ifikapo 2015.

Ni lazima tufanye mabadiliko halisi,tusiruhusu kizazi cha tano na kamwe tusichanganye sera!!!!!, it will cost us kwa mara nyingine
 
KKizazi cha nne kilijuwa balaa kikamaanisha kizazi cha kwanza ndiyo dawa. Kumbe tatizo. Nendeni mkarithi mliyoyavuna c ki kwenu!
 
Back
Top Bottom