Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Kizazi cha Gen z kimekuwa na nguvu na mwiba mkubwa kwa mafisadi kwenye mataifa mbalimbali kuliko upinzani wa vyama vya siasa.
Je, gen z wa Tanzania wanaweza kupindua serikali ya Tanzania? hili ni jibu ambalo linaweza kuwa ndio,
kulingana na uchunguzi idadi ya gen z ni zaidi ya asilimia 60% ya watanzania, hivi karibuni serikali ilipata upinzani mkubwa kutoka kwa gen z pasipo kutegemea hivyo uwezo wa gen z kuchukua nchi ni mkubwa na unaweza usitegemewe kwa sasa.