Ndo ushirikina wenyew ama??
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeshikwa na Uoga wa kwenda chooni ghafla na huyo mdudu namwogopa balaa, Cjaona nyoka live muda mrefuu sana lkn hawa wakuona kwenye movie na picha wananikoseshaga ucngz kabisaaa,maranyingi huwa nahic wako uvungu wa kitanda
Sasa nilichoona Hapa chooni hapaendeki leo.
Jinga sana wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Refer to;
Kukosa raha day.
HabariKuhabarisha [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuhabarisha [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Duh!