Kiza hutengeneza maumbo?

Hata baadhi ya ndoto mbaya na majinamizi hutokana na kulala kizani na kuwaza mambo ya kutisha ndio maana mara nyingi watu wenye hofu na giza hushauriwa walale bila kuzima taa..kitu ambacho kwangu ni mwiko kabisa
hii picha no 3 haina tatizo sana japo ntaogopa mwanzoni ila ntajitahidi kushikilia.
 
Unachora picha ya zombie hlf inakutisha mwenyewe
 
Hata baadhi ya ndoto mbaya na majinamizi hutokana na kulala kizani na kuwaza mambo ya kutisha ndio maana mara nyingi watu wenye hofu na giza hushauriwa walale bila kuzima taa..kitu ambacho kwangu ni mwiko kabisa
Duh hali hiyo huwa inanikuta sana aisee na inatisha
 
Zamani nikingali motto ilikuwa nikimuona bundi mwili unasisimuka.
 
Attachments

  • owl-550.jpg
    38.8 KB · Views: 119
  • way-of-the-witch-owl-cushion-lisa-parker-b1511d5.jpg
    76.4 KB · Views: 87
Zamani nikingali motto ilikuwa nikimuona bundi mwili unasisimuka.
Huyu ndege huyu huku kwetu ni nuksi na mikosi ukimuona asubuhi nje ya nyumba yako lakini huko kwa wachina ni bonge la bahati
Japo hizi ni imani tu kutokana na tamaduni mbalimbali lakini imani huumba
 
Huyu ndege huyu huku kwetu ni nuksi na mikosi ukimuona asubuhi nje ya nyumba yako lakini huko kwa wachina ni bonge la bahati
Japo hizi ni imani tu kutokana na tamaduni mbalimbali lakini imani huumba
Nasikia ukipita mahali nywele zikasisimka huwa kuna vitu vya kishirikina, ni kweli?
 
Wewe wakati nasikia ukitembea na hayo madude ndo unawaona wachawi wakiride fisi wao, unataka nichizike
Hapana ni mpaka ufanye hivi
Ubebe ndukele
Ubadili nguo uivae tofauti au hata viatu Ufambe
Halafu usipepese macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…