aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha jamii (ccj) - almanusura niandike ccm! - richard kiyabo, leo "amerejea" na kukabidhiwa kadi rasmi na katibu mkuu, yusuf makamba.
Habari zilizotangazwa sasa hivi na taarifa ya habari kwa ufupi ya saa 10 jioni ya tbc1 zimetangaza.
Taarifa zitaendelea kuwafikia.
Sijui Mwanakijiji yupo wapi?
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Jamii (CCJ) - almanusura niandike CCM! - Richard Kiyabo, leo "amerejea" na kukabidhiwa kadi rasmi na Katibu Mkuu, Yusuf Makamba.
Habari zilizotangazwa sasa hivi na Taarifa ya Habari kwa Ufupi ya saa 10 jioni ya TBC1 zimetangaza.
Taarifa zitaendelea kuwafikia.
Nae nasikia anataka kurudi chichiem!

Hahahaha yupo kimyaa
Bora hata utaahira na uzuzu una unafuu. Hili lijamaa ni likichaa kabisa. Wala halijui linafanya nini? Mijitu kama hii ingekuwa nchi za wenzetu bila shaka ingepigwa risasi kabisa.Ukisikia mtu kuwa taahira na ZUZU, huu hapa uthibitisho!
Nadhani alikosa nafasi ya jikoni CHADEMA ambapo walishamstukia na kumweka benchi.
Hongera zake kwa kudhihirisha UCHU wake hadharani
Nae nasikia anataka kurudi chichiem!
Mimi toka mwanzo niliamini kabisa kwamba CCJ ni chama kilichoanzishwa kuivunja nguvu Chadema kabla ya kampeni.