Kiwanja na nyumba milioni 8 Chanika

Kiwanja na nyumba milioni 8 Chanika

Solangefoley

Member
Joined
Nov 12, 2012
Posts
28
Reaction score
2
ImageUploadedByJamiiForums1395233819.655595.jpg ImageUploadedByJamiiForums1395233829.648647.jpg

SHAMBA /PLOT IN CHANIKA 2,238 FT2/682 M2:

Area: Dar Es Salaam / Chanika
Directions: Karibu na shule ya msingi Tungini-Chanika Masantula

1) Price: TZS 8,000,000
Square Feet/Meters: 2,238 ft2/682 m2
Ndani kuna nyumba ndogo vyumba 2
Miembe,minazi etc
Karibu na barabara ( shule ya tungini)

2) Vinginevyo 20 *12 mts - 3.5 mln
15 *12 mts - 2 mln
15 *21 mts - 4mln

Maelezo zaidi : 0654 615839,0767 966955
 
kiongozi mimi nilitaka nikaone eneo nimepiga voda# ikapokelewa na mdada flani lakini maelezo yake ayajanishawishi.....jaribu kuweka details zaidi za mmiliki alali wa eneo <aridhi> husika.kama eneo limepimwa itakuwa vizuri nikijua au kama kuna hati ya serikali ya kijiji ....thanx
 
Kiwanja kinauzwa na mimi mmiliki...niko safari kidogo kesho ntakuwa dar....kina hati ya serikalibya kijiji , fanya mawasiliano ili ukaonyeshwe ! babuublessed@kappa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom