Kiwanja kwa ujenzi wa resthouse

Kiwanja kwa ujenzi wa resthouse

kanyagio

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2009
Posts
1,021
Reaction score
374
Natafuta kiwanja cha kujenga guesthouse/Lodge Au hostel ya biashara chenye square meter kati ya 600 mq 2000.

Kiwanja kiwe Dodoma, mwanza, bukoba, dar es salaam.nitumie hapa au by inbox or by email nat867@gmail.com
Nitashukuru..
 
Hii itakuwa resthome ya kwanza TZ ? Au kuna nyingine. ?
 
Natafuta kiwanja cha kujenga resthouse Au hostel ya biashara chenye square meter kati ya 600 mq 2000.

Kiwanja kiwe Dodoma, mwanza, bukoba, dar es salaam.nitumie hapa au by inbox or by email nat867@gmail.com
Nitashukuru..

Mwenye any info on this
 
I got one but still in need for another one
 
kaka nipigie kuna eneo zuri lipo kisiju Pwani nliona ni fursa me nlikosa tu hela kwa wakati huu anauza metre 10 kwa 10 millioni inategemeaunahitaji ngap
 
Eneo lipo kibamba na msingi wa resthouse vyumba 8 ukumbi mdogo na parking. Ukubwa wa kiwanja sqm.1500(50x30)
 
Natafuta kiwanja cha kujenga guesthouse/Lodge Au hostel ya biashara chenye square meter kati ya 600 mq 2000.

Kiwanja kiwe Dodoma, mwanza, bukoba, dar es salaam.nitumie hapa au by inbox or by email nat867@gmail.com
Nitashukuru..
KIWANJA CHENYE NYUMBA YA KUVUNJA, Ukonga - DaresSalaam
Contact: 0786157788 / 0767157788

Kinauzwa • TZS 150,000,000 • Ukonga Banana • Mita 300 kutoka barabara ya pugu na 150 kutoka reli ya kati

Skwata • Eneo la kiwanja sqm 570 • Kuna nyumba ya vyumba 5 vya kulala • Kinatazama barabara ya mtaa • Panafaa ujenzi wa makazi au biashara
IMG_20180307_142636.jpg
IMG_20180307_142815.jpg
 
Natafuta kiwanja cha kujenga guesthouse/Lodge Au hostel ya biashara chenye square meter kati ya 600 mq 2000.

Kiwanja kiwe Dodoma, mwanza, bukoba, dar es salaam.nitumie hapa au by inbox or by email nat867@gmail.com
Nitashukuru..
KIWANJA CHENYE NYUMBA YA KUVUNJA, Ubungo - DaresSalaam
Contact: 0786157788 / 0767157788

Kinauzwa • TZS 350,000,000 • Ubungo Maziwa • Mita 500 kutoka barabara ya Morogoro (stendi ya mabasi ya mkoa)

Kimepimwa • Kina leseni ya makazi • Eneo la kiwanja sqm 480 • Kuna nyumba kubwa na fremu 5 kwa mbele • Kimepakana na magorofa ya kisasa ya hoteli, ofisi, n.k • Kinatazama barabara ya lami ya mtaa • Panafaa ujenzi wa makazi au biashara
IMG-20180227-WA0047.jpg
IMG-20180227-WA0048.jpg
IMG-20180227-WA0049.jpg
 
Natafuta kiwanja cha kujenga guesthouse/Lodge Au hostel ya biashara chenye square meter kati ya 600 mq 2000.

Kiwanja kiwe Dodoma, mwanza, bukoba, dar es salaam.nitumie hapa au by inbox or by email nat867@gmail.com
Nitashukuru..
KIWANJA CHENYE NYUMBA YA KUVUNJA, Tabata Segerea - DaresSalaam
Contact: 0786157788 / 0767157788

Kinauzwa • TZS 85,000 • Segerea migombani • Mita 800 kutoka kituo cha daladala cha Segerea

Kina ofa • Eneo la kiwanja 680 sqm • Eneo lililo jengwa ni 190 sqm • Nyumba ina vyumba 4 vya kulala, sebule, jiko, stoo, bafu 2 na baraza la mbele • Kinafaa kwa ujenzi wa makazi au biashara
IMG_20180214_114158.jpg
IMG_20180214_113427.jpg
IMG_20180214_113932.jpg
 
Natafuta kiwanja cha kujenga guesthouse/Lodge Au hostel ya biashara chenye square meter kati ya 600 mq 2000.

Kiwanja kiwe Dodoma, mwanza, bukoba, dar es salaam.nitumie hapa au by inbox or by email nat867@gmail.com
Nitashukuru..
KIWANJA CHENYE NYUMBA YA KUVUNJA, Kiluvya - DaresSalaam
Contact: 0786157788 / 0767157788

Kinauzwa • TZS Mil. 200 • Kiluvya madukani • kinatazama barabara ya Morogoro, mita 150 kutoka barabarani

Skwata • Kina barua ya serikali ya mtaa • Ukubwa wa kiwanja 800 sqm • Nyumba ya vyumba 5 vya kulala, sebule, stoo, baraza na bafu la nje • Banda la uwani la vyumba 2 na sebule • Maji na umeme vipo • Kinafaa ujenzi wa makazi au biashara
 
KIWANJA CHENYE NYUMBA YA KUVUNJA, Ubungo - DaresSalaam
Contact: 0786157788 / 0767157788

Kinauzwa • TZS 350,000,000 • Ubungo Maziwa • Mita 500 kutoka barabara ya Morogoro (stendi ya mabasi ya mkoa)

Kimepimwa • Kina leseni ya makazi • Eneo la kiwanja sqm 480 • Kuna nyumba kubwa na fremu 5 kwa mbele • Kimepakana na magorofa ya kisasa ya hoteli, ofisi, n.k • Kinatazama barabara ya lami ya mtaa • Panafaa ujenzi wa makazi au biasharaView attachment 903218View attachment 903219View attachment 903220
KIWANJA CHENYE NYUMBA YA KUVUNJA, Tabata Segerea - DaresSalaam
Contact: 0786157788 / 0767157788

Kinauzwa • TZS 85,000 • Segerea migombani • Mita 800 kutoka kituo cha daladala cha Segerea

Kina ofa • Eneo la kiwanja 680 sqm • Eneo lililo jengwa ni 190 sqm • Nyumba ina vyumba 4 vya kulala, sebule, jiko, stoo, bafu 2 na baraza la mbele • Kinafaa kwa ujenzi wa makazi au biashara
View attachment 903225View attachment 903226View attachment 903227
KIWANJA CHENYE NYUMBA YA KUVUNJA, Kiluvya - DaresSalaam
Contact: 0786157788 / 0767157788

Kinauzwa • TZS Mil. 200 • Kiluvya madukani • kinatazama barabara ya Morogoro, mita 150 kutoka barabarani

Skwata • Kina barua ya serikali ya mtaa • Ukubwa wa kiwanja 800 sqm • Nyumba ya vyumba 5 vya kulala, sebule, stoo, baraza na bafu la nje • Banda la uwani la vyumba 2 na sebule • Maji na umeme vipo • Kinafaa ujenzi wa makazi au biashara
Ninavyo vingi zaidi ya hivyo lakini sijajua bajeti imesimamaje. Vipo vya mil 25 mpaka 45 vya ukubwa wa sqm 1000 mpaka 1500 nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kama Kibamba, Kigamboni, n.k
 
Back
Top Bottom