Kiwanja kinauzwa

Hivi visiwa huwa vinamilikiwa na watu binafsi?

As per Tanzania land law, kisiwa ni mali ya serikali
 
Sawa mkuu nimekuelewa kuwa ni ya serikali lakini nataka kujua kama ni serikali kuu au serikali ya mitaa.

Serikali kuu na Serikali za mitaa ni kitu kimoja, vimepimwa kulingana na Sheria ya Ardhi Na 4 ya mwaka 1999 na sio Sheria ya Ardhi ya Vijiji Na 5 ya mwaka 1999. Hati inatolewa na Kamishna wa Ardhi katika Wizara ya Ardhi, na offer imetolewa na Authorised Officer under Land Act No 4. Sijui nimekujibu mkuu?
 
Sawa, sasa kuna mtu ana 1.8 mil. Unasemaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom