Plot/House for sale in Mbezi Beach Tanki Bovu

Bia batta

Member
Aug 18, 2015
66
34
Nyumba/kiwanja ukubwa ni sqm 980,

eneo ni tanki bovu mita mia mbili kutoka barabara ya bagamoyo ilipo benki ya NBC au kanisa la kilutheri mbezi, ina tittle deed (hati ya umiliki) na eneo linafaa kwa matumizi yote yaani residential and commercial(suitable for offices, hotel, kumbi ya harusi, apartments...etc).

Pia partnership/joint venture agreement inaweza kufanyika kwa kipindi cha miaka 15 kwa makubaliano maalumu.

kwa maelezo zaidi piga simu number 0713-480118.
 
Pm Mkuu, bei kias gan? Nataka nimshaur Jamaa angu achukue, afu vizur namm nastay maeneo hayo
 
Back
Top Bottom