Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,073
- 1,563
- Thread starter
- #21
Hongera Kwa kupata eneo mkuuSio mkuu,
Hongera Kwa kupata eneo mkuuSio mkuu,
Nusu eka ni sqm 2,400Nusu heka
My bad nimekosea.Nusu eka ni sqm 2,400
Matajiri hawajaamua Tu kuwekeza mkuuNahisi kupata mteja napo ni shida, labda angekigawa mara mbili; Nawaza tu....
Hilo shamba lipo mikoa ya pembezoni ambayo si Arusha wala KilimanjaroDuuh, juzi nimechukua halmashauri mojawapo hapa nchini kiwanja cha ukubwa huo kwa TZS 2,880,000/-.
Ni kweli mkuu, nilipita kufanya kazi kule jamaa niliyekuwa napiga nae kazi akaniunga na huo mchongo.Hilo shamba lipo mikoa ya pembezoni ambayo si Arusha wala Kilimanjaro
Hizo pesa ukiwekeza UTT sasaBil 3.8 ausio