Kiwanja kinauzwa kibaha heka moja bei nafuu

Kiwanja kinauzwa kibaha heka moja bei nafuu

Hakuna kituo kinaitwa kwa sheikh Sharif Tumbi
Kiwanja kipo tumbi kwa nemera unapanda gari za kongowe unashuka tumbi unachukua bodaboda kwa zinazoenda kwa kwa nemera unamwambia akushushe kibaoni kiwanja kipo hapo kina ukubwa wa heka moja.kwa mawasiliani zaidi 0659865639
 
Sasa ulikua unakataa nini? Kwa Nemera ni boko na sio Tumbi!!!
 
Kiwanja kipo kibaha tumbi eneo linaitwa nemera karibu na kiwanda cha kuku.
Kiwanja kipo mita chache kutoka morogoro road. Kiwanja kimepimwa na kina hati kiwanja kipo katika eneo la makazi ya watu.KIWANJA KINAUKUBWA WA MITA 70 ZA MRABA YAANI HEKA MOJA.
Bei 4000000 milioni nne tu.
KWAMAWASILIANO PIGA 0659865639.
 
Umbali cjakalili ni mita ngap ila ni kama ubungo had mliman city huo ndio mfano wa umbali wake
 
Kiwanja kipo kibaha tumbi eneo linaitwa nemera karibu na kiwanda cha kuku.
Kiwanja kipo mita chache kutoka morogoro road. Kiwanja kimepimwa na kina hati kiwanja kipo katika eneo la makazi ya watu.KIWANJA KINAUKUBWA WA MITA 70 ZA MRABA YAANI HEKA MOJA.
Bei 4000000 milioni nne tu.
KWAMAWASILIANO PIGA 0659865639.
Mita 70 za mraba haziwezi kuwa eka moja! I stand to be corrected!
 
Mita za mraba 70??? Mtoa mada weka sawa hesabu yako
 
Duu hamjui kutofautisha heka na ekari...ha haaa...yai na yahi huhhhhh
 
Ok hivi kati ya heka na ekari ipi ni sawa na mita 70 za mraba?
Mita 70 za mraba simply ni kuwa ukizidisha urefu na upana (basic arithmetic ya darasa la nne) unapata eneo la mraba (70)! sasa kwa mfano 8mx8m= 64; 9mx9m=81, sasa hizi haziwezi kuwa eka! I am I right? kwa kipimo chochote be it heka (hectre) au eka (acre) 70 square kilomitres meters/feet/inches etc haziwezi kuwa sawa na heka au eka! Tuelimishane
 
boko mnemera au nemela?, wewe utakuwa dalali!hata jina hulijui vizuri
 
Kipaumbele cha Kwanza ELIMU
Kipaumbele cha Pili ELIMU
Kipaumbele cha Tatu ELIMU

Natumai mmenielewa
 
Kiwanja kipo kibaha tumbi eneo linaitwa nemera karibu na kiwanda cha kuku.
Kiwanja kipo mita chache kutoka morogoro road. Kiwanja kimepimwa na kina hati kiwanja kipo katika eneo la makazi ya watu.KIWANJA KINAUKUBWA WA MITA 70 ZA MRABA YAANI HEKA MOJA.
Bei 4000000 milioni nne tu.
KWAMAWASILIANO PIGA 0659865639.
Hebu weka sawa hivyo vipo mita 70 za mraba unamaana zaidi kidogo mita 8×8, au unamaana heka moja yaani 70 X 70? Kama 8x8 labda kuweka banda dogo la kuku kwa 4,000,000 ni kubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom