Kiwanja kinauzwa kibaha heka moja bei nafuu

Kiwanja kinauzwa kibaha heka moja bei nafuu

Baraka sheni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2015
Posts
473
Reaction score
198
Kiwa kipo karibu na hospitali ya tumbi kuina ukubwa wa heka moja kipo karibu na barabara. BEI SH 4500000
 
Hospitali ya tumbi wapi? Maana karibu ya hospitali ya Tumbi lote ni eneo la shirika la elimu Kibaha.
Yaaan kama una pajua kwa shekh sharifu karibu na hapo maana sio mbali sana na eneo hilo la hospitali
 
Hapana sio boko ukifika ubungo unapanda gari za kongowe alafu unashuka kituo cha tumbi ukifika hapo ukiuliza kwa shekh sharifu utaelekezwa yaani kiwanja changu na cha shekh vimepakana
 
Hapana sio boko ukifika ubungo unapanda gari za kongowe alafu unashuka kituo cha tumbi ukifika hapo ukiuliza kwa shekh sharifu utaelekezwa yaani kiwanja changu na cha shekh vimepakana
Wewe Tumbi wapi? Ninaijua Tumbi vizuri sana!! Tumbi yote ni shirika la elimu kibaha!! Au picha ya ndege?
 
Wewe Tumbi wapi? Ninaijua Tumbi vizuri sana!! Tumbi yote ni shirika la elimu kibaha!! Au picha ya ndege?
anazingua huyo.....baada ya shirika la elimu atueleze unakwenda kama boko mnemela au ni baada ya kuvuka hicho kiwanda cha kuku cha organia
 
Kimepimwa na mamlaka husika?
Kiwanja kipo tumbi kwa nemera unapanda gari za kongowe unashuka tumbi unachukua bodaboda kwa zinazoenda kwa kwa nemera unamwambia akushushe kibaoni kiwanja kipo hapo kina ukubwa wa heka moja.kwa mawasiliani zaidi 0659865639
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom