google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,876
Weka hesabu vizuri, pesa andika simple watu wajue, tangazo kama la uganga shiit
Mkuu biashara ni maongezi.linaukubwa wa mita 70 za mraba yani 70mx70m. mita 4900 za mraba....
SHAMBA LINA HATI YA MAUZO KUTOKA SERIKARI ZA MITAA.
serikali
Pia upatikanaji wa hudama za jamii kama masoko, shule ,maji,masoko, na maji na umeme vinapatikana kwa ukaribu.
…huduma......
Bei ni sh 3M
Kwa mawasiliano piga 0659865639 au whatsap 0659865639
Mkuu biashara ni maỏngezi.😀😀
Nimeipenda hiyo bei
😀😀😀
Ok sasa nikiite kiwanja au shamba?Mbona hicho ni kiwanja cha kujenga nyumba tu?
Mimi ningeita kiwanjaOk sasa nikiite kiwanja au shamba?
Ngoja mana kwa sasa nipo huku dar nikienda kila kitu kitakua sawaBaraka sheni , unamaanisha hilo shamba ni keka moja? Heka nnayoifaham mimi ndio in mita 70 kwa 70.
Unaweza kuweka kapicha ka eneo mkuu? Siku hizi mbona technolojia imeenea pote, kupata picha inawezekana ukarushiwa hata kama wewe hautakanyaga huko shamba?
Ahsante kwa taarifa.
Halipo kwenye eneo la shirika la elimu kibahaShamba zuri linauzwa, shamba lipo kibaha tumbi kilometa 3 kutoka morogoro road. Shamba linaukubwa wa mita za mraba 4900 yaani mita 70 upande mmoja na mwingine 70.
Shamba lina faa kwa kilimo na ufugaji SHAMBA LINA HATI YA MAUZO KUTOKA SERIKARI ZA MITAA.
Pia upatikanaji wa hudama za jamii kama masoko, shule ,maji,masoko, na maji na umeme vinapatikana kwa ukaribu.
Bei ni sh 2m
Kwa mawasiliano piga 0659865639 au whatsap 0659865639
Hapana ni eneo la makazi ya watuHalipo kwenye eneo la shirika la elimu kibaha
Unafika bokoHapana ni eneo la makazi ya watu
Nikaribu na bokoUnafika boko