KIWANJA KINAUZWA BUSWELU,MWANZA

KIWANJA KINAUZWA BUSWELU,MWANZA

Jitsu

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2018
Posts
248
Reaction score
283
ninauza kiwanja,
kipo buswelu,Mwanza
njia ya kwenda kiseke karibu na nyumba za PPF
kimeshapimwa
huduma za kijamii zimefika(umeme na maji)
ukubwa Ni 47 kwa 35
Bei Ni 5mil
call:0767905919 for more clarification
 
Nawashauri kwa walio mwanza..tayari furksa hii..Buswelu pazuri
Buswelu eneo limetulia sanaa,sema ni mbal kdg na maeneo ya mji kati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu buswelu Ni makazi ya watumishi wa serikali na bnessmen kumeendelea na pamechangamka mnoo,...kihusu umbali nowdays barabara ya lami kupitia kiseke ambayo ndio location kilipo kiwanja chetu imerahisisha usafiri,yaani unadrive kwa lami Hadi city centre
 
yes safi sana!
Hapo pia kwenye wafanyabiashara upo [emoji106]..kuna mtu nilikuwa namfahamu anatokea kule mpk mlango mmoja,Barabara imesave sana..Sehemu ni nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nitashukuru mkuu..na kiwanja hicho hakina morogoro wowote?
ondoa Shaka mkuu,documents zote za mauziano ya awali zipo na viongozi wote wa serikali ya mtaa wanafahamu,...ili kujiridhisha utafanya crosschecking zako pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom