Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Buhongwa, Mwanza hakina udalali

Hicho kiwanja hakiuzuki mkuu! Njoo PM nikusaidie kusafisha nyota ya hicho kiwanja pamoja na kuondoa mauzauza yote. Bei maelewano!
 
Tutawasiliana, nikiuza changu ni nunue hicho
😂😂😂😂
Sema wewe bei imesimama.. Wapunguzie!
Me mzee nikipata hiyo 7m kutatua changamoto inayonikabili hapa nitabaki na eneo langu nije niuze 2023... najua lami itakuwa inapita within 100metres, and hence more money😊
 
Mkuu hebu weka picha ya eneo lako. Kama vipi weekend nikutafute
Msema kweri ni mpenzi wa Mungu: (In Memory of the Late President).. Nina site naiuza maeneo hayo nimesema, ila sipo mkoani Mwanza kwa sasa na sina picha.. Ukiwa tayari kwenda kuiona nitakuunganisha na familia.. Site ni nzuri sana.

Potential ya site; Umeme na maji tayari, wenyeji tulitegemea lami ingekuwa inapita by mwakani🤔.. Ile lami ya kuunganisha Buhongwa na Kishiri, lkn bado. Site ipo kama mita 70 au 100 toka the main road ya Buhongwa-Kishiri

Changamoto ya site: Ipo somewhere km 2.5 or more toka Buhongwa bus stand

Sababu ya kuiuza; Nimepungukiwa kama 6.5-7m kwa matatizo yangu... Napambana kuitafuta upande mwingine, nikiipata kwingine nabaki na site yangu!

Ukiwa tayari tutaendelea inbox..
 
Msema kweri ni mpenzi wa Mungu: (In Memory of the Late President).. Nina site naiuza maeneo hayo nimesema, ila sipo mkoani Mwanza kwa sasa na sina picha.. Ukiwa tayari kwenda kuiona nitakuunganisha na familia.. Site ni nzuri sana.

Potential ya site; Umeme na maji tayari, wenyeji tulitegemea lami ingekuwa inapita by mwakani.. Ile lami ya kuunganisha Buhongwa na Kishiri, lkn bado. Site ipo kama mita 70 au 100 toka the main road ya Buhongwa-Kishiri

Changamoto ya site: Ipo somewhere km 2.5 or more toka Buhongwa bus stand

Sababu ya kuiuza; Nimepungukiwa kama 6.5-7m kwa matatizo yangu... Napambana kuitafuta upande mwingine, nikiipata kwingine nabaki na site yangu!

Ukiwa tayari tutaendelea inbox..

Nmekupata. Nami nipo chato lubambangwe. Ngoja nitafute mtu aliye karibu aje apaone
 
Kiwanja bado kipo, Ukubwa ni sqm 1200 bei ni 13 Milioni... kiwanja kipo barabarani kabisa ni tambalale hakina mawe, mita 800 tu toka buhongwa stendi, kimezungukwa na nyumba za kishua, huduma zote za muhimu zipo.

mawasiliano:
0627024790
 
Quote Reply
Report Edit
 
Bei bado ipo juu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom