Plot4Sale Kiwanja kiwanja kiwanja, King’azi, Malamba,Dar es Salaam. Hatua 25 kwa 20

projectman

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
349
484
Habari zenu, kichwa cha habari hapo juu, kinajieleza. Kiwanja ni cha kwangu, hakina udalali.

Kiwanja kina sifa zifuatazo

1. Hatua 25 kwa 20
2. Umeme na maji vimepita hapo hapo mpakani, utavuta umeme, bila nguzo.
3. Kiwanja hakipo bondeni wala mlimani, kipo juu, tambalale
4. Kiwanja hakipo mbali na usafiri kama pikipiki au bajaji, zinazoenda mbezi au kinyerezi, nauri buku
5. Kiwanja kina miti ya matunda na kivuli
6. Mipaka imekaa vizuri kwa bikoni
7. Kiwanja kimepimwa kwa hatua za awali, kinatambulika na serikali za mitaa
8. Usafiri unafika na hakipo mbali na barabara ya tanroad ya vumbi, inayotoka malamba ni usawa wa mita 300 au nyumba ya nne kufika barabarani
9. Kwenda barabara ya rami unaweza kutembea ukitokea kituo kinaitwa kwa rechard au soweto park lounge
10. Nyumba za kupanga zinaumiza, anza kuja kwako

Bei ya kiwanja ni fixed 7.600,000/=
Piga simu 0693300971

IMG_0595.jpg

IMG_0596.jpg

IMG_0592.jpg

IMG_0593.jpg

IMG_0594.jpg
 
Habari zenu, kichwa cha habari hapo juu, kinajieleza. Kiwanja ni chakwangu, hakina udalali,

Kiwanja kina sifa zifuatazo

1. Hatua 25 kwa 20
2. Umeme na maji vinepita hapo hapo mpakani, utavuta umeme, bila nguzo.
3. Kiwanja hakipo bondeni wala mlimani, kipo juu, tambalale
4. Kiwanja hakipo mbali na usafiri kama pikipiki au bajaji, zinazoenda mbezi au kinyerezi, nauri buku
5. Kiwanja kina miti ya matunda na kivuli
6. Mipaka imekaa vizuri kwa bikoni
7. Kiwanja kimepimwa kwa hatua za awali, kinatambulika na serikali za mitaa
8. Usafiri unafika na hakipo mbali na barabara ya tanroad ya vumbi, inayotoka malamba ni usawa wa mita 300 au nyumba ya nne kufika barabarani
9. Kwenda barabara ya rami unaweza kutembea ukitokea kituo kinaitwa kwa rechard au soweto park lounge
10. Nyumba za kupanga zinaumiza, anza kuja kwako

Bei ya kiwanja ni fixed 7.600,000/=
Piga simu 0693300971

View attachment 2522955
View attachment 2522956
View attachment 2522957
View attachment 2522958
View attachment 2522959
Eneo nalijua lipo poa sana malamba-kifuru hiyo..
 
ENEO NA BOMA LINAUZWA
KIBAHA KWA MFIPA JIRANI NA SEC.YA SIMBANI .
ENEO LINA UKUBWA WA NUSU HEKA. KUNA BOMA LA NYUMBA YA VYUMBA 3 VYOTE MASTER. SEBLE JIKO NA DINING. NIMEEZEKA VYUMBA 2. NA VYOO VYAKE TAYARI VINATUMIKA LINA TANK YA CHINI YA KUVUNIA MAJI LITA ELFU 3000.

UMEME NGUZO MBILI
MAJI NI MITA 500

km.1 kutoka main road

NATAKA ML. 22

Mazungumzo yapo

0685223804
 
Back
Top Bottom