Kiwanja kinauzwa bei poa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kinauzwa bei poa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, May 8, 2011.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,032
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  kipo Mbezi Juu. kilomita 2 kutoka Massana Hospital. Kina ukubwa wa sqm 1680. Kina Hati Miliki. Ukiwa katika hicho kiwanja unaitazama bahari kama inavyoonekana katika picha. Bei shs 60mil. Kwa maelezo piga simu 0717114409
   

  Attached Files:

 2. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Lol! Hii bei mkuu si ni kwa ajili ya mafisadi tuuuu!
   
 3. duda

  duda Senior Member

  #3
  May 8, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mil 60 kiwanja tu??? kwe;i tz maisha bora kwa kila mtz!! anyway utapata mteja!!!
   
 4. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ufisadi Umepandisha sana Gharama za Maisha. Naamini Kuna watu wenye uwezo kutoa hizo 60 Milions. Walalahoi inabidi Tuibe tu ili tuweze kumudu Maisha haya ya Kifisadi
   
 5. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  yes!! i love my country
   
 6. W

  Wanji Member

  #6
  May 10, 2011
  Joined: Jul 28, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  maelewano yapo?
   
 7. JANGWANK

  JANGWANK Member

  #7
  May 10, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 8. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  kwa hali hii ujenzi usio na mipangilio hautaisha Dar es salaam
   
 9. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  milion 60 = bei poa / ????????????
   
 10. charger

  charger JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,324
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mhhh! Kweli maisha kila mtu ana definition yake
   
 11. Revolution

  Revolution JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 565
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Mkuu..... Goba kumefika milioni 60 siku hizi? Du! kweli ardhi inapanda....Mimi nina chakwangu kipo salasala kinzudi bei milioni 9 kina approximately sqm 800 ni umbali wa km 4 kutoka barabara ya lami ya kwenda tegeta. Hakina title deed na ndio maana bei imepoa. anayehitaji aniPM.

  NB: Ni mali yangu mwenyewe.
   
 12. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,067
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nimeshangazwa....60mil ni bei poa!?
   
 13. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kitomai, kweli kuna watu humu JF unawauzia hizo property zako? Sijawahi kuona bei ukitangaza ikiwa ni afueni kidogo..

  Tanzania na ukubwa wake, Real Estate, esp. Ardhi ni juu kuliko hata Ubelgigi ambayo ni kama mkoa moja hapa kwetu, bei zao hazifiki hizi za kwetu hapa!
   
 14. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mkuu Jamaa angu kafika 35M upo tayari?????? mtumie Copy ya Hati ni PM
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  mtafute rostam azizi piga
  0754 888 888
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  tahadhari
  viwanja vingi vya Eneo hilo vina migogoro sana na kabla ya kununua angalizo wasliana na wazee wa mtaa nenda kwenye search mashine angalia kweli kiwanja chake ndio ufikirie kununua kuna wengi wamelia na wanajuta kuendelea kulia viwanja vya kuanzai tankibovu mpaka tegeta ni msala upitao..not this..akikisha umepata uhakaika na wakprintie na ucuhukue jina la alieprint mashine
  thnx
   
 17. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #17
  May 11, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  jamaa anayekiuza alikipata kwa bei gani serikalini? duh ama kweli ujanja kuwahi, aliyenacho huongezewa, aliyeshiba hamjui mwenye njaa na mjini shule tu.
   
Loading...