Plot4Sale Kiwanja kinauzwa 70 kwa 70 Kigamboni Mwembe Mdogo

Mkuu acha dharau basi, yaani unataka kutuuzia hekari moja ya JARUBA LA MPUNGA kwa milioni 12? Kweli?
 
Umenifurahisha mbona wanunuzi wanapiga simu wanaulizia kuhusu vitisho vyenu vyakupanga mezani mnavyovitengeza kama ni kweli au ni FITINA za kupanga nawajibu kisha tunapanga muda wa kukutana ili waangalie kiwanja, hii mbinu yenu ya kutishia watu wasinunue vitu vya watu imgonga mwamba kwakua nyie ni waatalam mko kazini tafuteni mbinu nyingine mpya ongeza ubunifu,

Waliofikiri wananiniwangia kumbe wanananisaidia kutangaza biashara zangu kila wakati Tangazo langu liko juu linapata viewas wengi ongeza juhudi ikiwezekana zuia hata simu nenda kwenye makampuni ya simu waambie waweke hivi mtu akipiga simu ajibiwe hivi namba unayopiga kiwanja kimejaa maji pia kina migogoro usinunue utapoteza pesa zako msiishie hapa JF tu.
Sasa si utoke humu kama umeshapata wateja kelele za nini Bojo au hujakoma na spana ulizopigwa 😜😜😜
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom