Kiwanja kinahitajika

Kiwanja kinahitajika

siasa ms

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2019
Posts
1,821
Reaction score
3,163
Kiwanja kilicho karibu na ufukweni hapa Dar kinahitajika,kama kuna mtu yoyote anacho aje pm sasa hivi.Aisee anaekihitaji ana hela nyingi mkononi
 
Kuwa specific unataka maeneo gani? Ukubwa gani? Mimi ninacho ila ni Mbutu Kigamboni kama mita 500 kutoka beach
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom