Kiwanja cha Makazi kwa Millioni Mbili

Kiwanja cha Makazi kwa Millioni Mbili

Cedar

Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
12
Reaction score
3
Habari wanajamii, naomba msaada kwa yeyote anaeweza kunipa taarifa sahihi ya uwezekano wa kupata kiwanja cha makazi maeneo ambayo ni nje kidogo ya mji wa Dar es salaam lakini si mbali sana kwa kiasi hicho cha fedha.
Natanguliza shukurani.
 
Aisee milion mbili?kuna viwanja mwanagati kumbandua mtu million saba
 
wala usiwe na wasi njoo huku makuyuni -Oilborkishu utapata kwa laki tano
 
Naibormut kunavyo vya laki 3......ni nje ya mji......nicheck kwa PM nikupe maelekezo.....
 
kuna cha hamsini elfu karibu na mlima sekenke.
au ulikuwa na maana ya umbali gani kutoka mjini au miji gani?
 
Back
Top Bottom