Kiwango cha mwisho cha matumizi ya internet bila kikomo...Vodacom

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,861
1,195
Wakuu naomba nijue kuhusu hawa voda, je ukitumia mpaka gb ngapi ndipo speed inapungua?
Jumapili nilijiunga na kifiruahi cha wiki, nikatunia siku moja tu speep ikaanza kuwa ya kobe...leo nimeunga ya siku speed iko poa tu!!

Sasa kuna ukomo wowote au hivi vifurushi vya wiki vinachakachuliwa?

Asanteni!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom