Kiwango cha mshahara utakachopokea mkononi baada ya makato

Kiwango cha mshahara utakachopokea mkononi baada ya makato

Wakuu nimemaliza shahada ya elimu mwaka huu, masomo ni Kiingereza na Kiswahili.
Ila kazi za tempo zimebana sana kwa sasa.
Nisaidieni connection ya shule yoyote nikafundishe hayo masomo. Nipo Dar.

kwa masomo yako utaendlea kusubri sana pga vibarua vya saidia fundi kitaa huk unachek mishe nyingne,
salary ya gvt ni 630,000 take home 493,000
 
Kiongozi mimi napata 1,127,874.00 ila nakatwa PAYE 476, 268.93. Hii ni moja ya taasisi ya serikali inayojitegemea haitegemei mshahara wa hazina
wewe hiii hapa ni gross au basic coz kwa hapo kama ni gross basi ilipaswa ukwatwe paye 192325.98
 
Wakuu nimemaliza shahada ya elimu mwaka huu, masomo ni Kiingereza na Kiswahili.
Ila kazi za tempo zimebana sana kwa sasa.
Nisaidieni connection ya shule yoyote nikafundishe hayo masomo. Nipo Dar.

Hao walimu tnao wengi sana...labda ungekuwa wa bios or chemisry and math....
 
nimeenda kwenye link ya tra ..pale anapokwambia uandike amount ya mshahara wako baada ya makato ya nssf alafu uclick sehem pameandikwa calculate payee ,mbona hapo sehemu sipaoni?
 
Serikali imerekebisha mishahara lakini duu kodi ni nomaa wangepunguza na kodi pia
naomba mnisaidie kwa kiwango hiki , baada ya makato ya nssf inabaki 1000,000/= paye hapa inakuaje?
 
Serikali imerekebisha mishahara lakini duu kodi ni nomaa wangepunguza na kodi pia
naomba mnisaidie kwa kiwango hiki , baada ya makato ya nssf inabaki 1000,000/= paye hapa inakuaje?

kama baada ya NSSF inabaki 1,000,000 basi PAE ni TZS 187,800
 
Hv marupu rupu hua yanalipwa kwenye mshahara au unalipwa direct
 
Kujua Mshahara baada ya makato kwa haraka haraka zidisha gross mara 0.7.
 
Back
Top Bottom