Cash Generating Unit JF-Expert Member Joined Jan 12, 2019 Posts 13,285 Reaction score 39,490 Aug 1, 2023 #2 Mnaita watu lini kwenye interview?
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,935 Reaction score 102,690 Aug 1, 2023 #3 Asante kwa taarifa Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Samia atosha tukutane2030 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 17,169 Reaction score 48,681 Aug 1, 2023 #4 Hii nzuri. Milioni 4 hata mama nitilie na mshona viatu mauzo ya milioni 4 kwa mwaka wanafikia
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,774 Reaction score 54,843 Aug 1, 2023 #5 Hapo sawa mauzo ya mln 100 kwa mwaka ni kawaida sana miaka hii hata kwa biashara za kawaida sana zisizo na sifa ya VAT, mln 200 si haba Hongereni nafikiri mmeangalia pia kushuka kwa thamani ya shilingi na kupanda kwa bei za bidhaa
Hapo sawa mauzo ya mln 100 kwa mwaka ni kawaida sana miaka hii hata kwa biashara za kawaida sana zisizo na sifa ya VAT, mln 200 si haba Hongereni nafikiri mmeangalia pia kushuka kwa thamani ya shilingi na kupanda kwa bei za bidhaa