Kiwanda changu nahitaji mfunguzi

Weh!!! Lazima utakuwa na PhD kama ya jiwe! Weka namba yako ya hicho ki tekno chako ili tukusakie Uteuzi kwa jiwe,yaani ukimmwagia hayo ma conicol frask,ma condenser, hayo ma nyuzi joto 70,tayari mtu anatumbuliwa unapewa ofisi!! Naamini wewe ni wa kure kwetu,
 
Wacha ukuda wewe
 
Ni kiwanda cha mtanzania mzalendo nimeamua kuunga mkono juhudi za raisi katika kuifanya Tanzania kuwa ya viwanda

Nahitaji mfunguzi nianze kuuza products officially.View attachment 775341
distilled gin processing industry.....safi sana.

Nakumbuka form two katika harakati ya kusaka ada niliipikaga sana hii.....

Kuna Mzee mmoja alikunywa akagoma kulipa akasema nikashitaki popote - nililia sana.
 
hicho ktekiniko kinaitwa Frakisho disitileishini hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…