Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,349
Vitenge ni vazi la Afrika, kutoka Magharibi mpaka Mashariki, Kusini hadi Kaskazini. Ingawa Afrika Kaskazini wana utamaduni wa Asia sana lakini 1/3 ya Afrika tunatumia vitenge kama vazi la kila siku.
Ghana na Nigeria wana viwanda vya kuzalisha vitenge lakini hawajaweza kukidhi soko la Afrika Magharibi tu. Mahitaji makubwa ya vitenge Afrika yanategemea viwanda vya Holland. Mzungu anachuma faida katika bidhaa ambayo yeye wala haitumii.
Mpaka sasa nchi za SADC hazina uzalishaji mkubwa wa hii bidhaa muhimu. Kufaidika kuwa katika umoja huu tungekuwa na kuwanda ambacho kitazalisha vitenge vyenye ubora wa kimataifa kama vile vya Holland na kukata soko la Afrika ya Kusini
Pamba yetu itapata soko na pia ulimaji utaongezeka. Kiwanda kitazalisha ajira kwa vijana. Na warembo wetu wanaweza kuwa mabalozi wa kutangaza bidhaa hii.

ya viwanda imeshasikia ushauri wako, hivyo usiwe na wasiwasi muda sio mrefu na sisi tutakua na kiwanda cha vitenge kitakachokidhi soko la ukanda mzima wa SADC.