Kiwanda cha usindikaji nyama za kopo

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
725
1,000
Habari Tanzania!

Chukua wazo hilo kalifanyie kazi.

NB: Soko nje ya nchi na ndani pia.

Karibu.
 
SeliSelina

JF-Expert Member
Jun 27, 2014
216
500
UMEZUNGUMZIA KUHUSU KUWEKWA KWENYE KOPO, INGEKUWA VIZURI UNGEFAFANUA KILE AMBACHO UNATAKA KUONGEA, KULIKO KUANDIKWA KITU UKAACHA KATI.
 
T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
2,486
2,000
Hutomuuzia mtu wa nje nyama uliyosindika hapa nchini, unaweza fatilia vigezo vya kuwa supplier wa foodstuffs kwa nchi za nje. Huwezi fuga nguruwe ukawauzia China hivihivi, nguruwe wao wanatoa US na Germany kwa sana. Mpaka usaini nao mkataba, na wakague ubora wako.

Vietnam wanauza kambale kwa US, toka hapa beba tani za kambale peleka US uone kama utaziuza.

Ukiona wabongo wanapeleka ng'ombe Shelisheli uko usidhani hawawezi kufanya slaughtering na kuuza nyama. Tatizo soko unalo?

Unajua mkataba ya nchi kama EU ya kuuziana bidhaa. Nchi kama Netherlands inauza dairy products kwa UK, wewe upeleke pua yako kama nani. Wanalindana masoko yao, ukitaka kuwauzia lazima kuwe na mikataba.

Toka hapa acha kuwauzia Kenya maua uyapeleke mwenyewe uone kama utayauza. Wazungu wanafanya biashara kama dalali na mwenye nyumba.
 
T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
2,486
2,000
Na pia hutouza nyama ya kusindika hapa nchini. Bucha zimezagaa mtu atoke vipi kununua nyama supermarket. Watu waoga wa afya zao na hawana sababu. Utatakiwa uuze nje kama Middle East, una ubora na mtaji wa kutosha.
 
Masalu Jacob

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
725
1,000
Hutomuuzia mtu wa nje nyama uliyosindika hapa nchini, unaweza fatilia vigezo vya kuwa supplier wa foodstuffs kwa nchi za nje. Huwezi fuga nguruwe ukawauzia China hivihivi, nguruwe wao wanatoa US na Germany kwa sana. Mpaka usaini nao mkataba, na wakague ubora wako.
Vietnam wanauza kambale kwa US, toka hapa beba tani za kambale peleka US uone kama utaziuza.
Ukiona wabongo wanapeleka ng'ombe Shelisheli uko usidhani hawawezi kufanya slaughtering na kuuza nyama. Tatizo soko unalo?

Unajua mkataba ya nchi kama EU ya kuuziana bidhaa. Nchi kama Netherlands inauza dairy products kwa UK, wewe upeleke pua yako kama nani. Wanalindana masoko yao, ukitaka kuwauzia lazima kuwe na mikataba. Toka hapa acha kuwauzia Kenya maua uyapeleke mwenyewe uone kama utayauza. Wazungu wanafanya biashara kama dalali na mwenye nyumba.
Mbona wanaangaika kutafuta suppliers daily kuhusu hiyo bidhaa ya usindikaji?

Tatizo nahisi ni taarifa tu kujua soko la hiyo bidhaa na sio kama usemavyo. Ukikosa taarifa hutakaa ufanikiwe jambo lolote.
 
Masalu Jacob

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
725
1,000
Na pia hutouza nyama ya kusindika hapa nchini. Bucha zimezagaa mtu atoke vipi kununua nyama supermarket. Watu waoga wa afya zao na hawana sababu. Utatakiwa uuze nje kama Middle East, una ubora na mtaji wa kutosha.
Biashara ni soko na uhitaji. Kwa ufupi soko lipo na uhitaji ni mkubwa sana tofauti na wewe unavyofikiria brother.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom