mbeyaboyfrancy
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 248
- 91
Kiwanda cha sukari cha Kilombero sugar leo kimechoma mua na kuanzia kesho jioni mua unaweza kuanza kuingia kiwandani na kuanza kufanya process ya kutoa sukari tutegeme upungufu wa sukari kupungua nchini.