Nashindwa kutoa maoni Concrete as Kuna taarifa za msingi zinakosekana kwenye andiko lako.
Ila unapotaka kufanya biashara ambayo tayari ipo (already existing business) unatakiwa kuangalia weakness za washindani wako Kwa kuangalia wapi wamekosea upande wa quality/quantity/market/brandings n.k
Hujasema unataka kufanya at which horizons i.e small scale/medium/large
Kwa kutumia uzoefu naweza kushauri kuhusu biashara ya Maji ambayo haihitaji gharama kubwa za Uendeshaji (O&M) zaidi ya gharama za madawa kwaajili ya kutibu as Maji yanapatikana kiurahisi ambapo unaweza kuyanunua kwenye Mamlaka za Maji iwe DAWASA/MWAUWASA/MORUWASA n.k
Ili ku-penetrate Soko hakikisha unakuwa na packaging nzuri na Maji yawe mazuri. Mikoa ya Mbeya/Iringa/Morogoro/Mwanza/Ruvuma Wana Maji matamu sana
Kama upo serious na biashara moja wapo ya hizo mbili niajiri nikufanyie tathmini ya kina na kuja chaguo sahihi.
Maana factors za kufikia kwenye Chaguo sahihi zipo nyingi ambapo upembuzi wa kina unahitaji.
Kila la heri Bilionea ujaye wa Kitanzania 🙏💪👊
Natoa huduma ya Ushauri wa Kitaalamu yaani Consultancy service especial upande wa miradi ili kufanya tathmini na kumshauri Mwekezaji kabla haja-inject fedha zake.Unafanya research only?
Kipi kingine unafanya?
Kukuajiri ndo kiasi gani?
Mzee hapo kwenye ku charge Kutokana na Gharama za mradi.Natoa huduma ya Ushauri wa Kitaalamu yaani Consultancy service especial upande wa miradi ili kufanya tathmini na kumshauri Mwekezaji kabla haja-inject fedha zake.
Kuhusu kiasi cha kutoza itategemea na Ukubwa wa Mradi japo nachaji Kwa percentage ya gharama za Mradi.
Tuta bargain ukiwa tayariMzee hapo kwenye ku charge Kutokana na Gharama za mradi.
👉Kwa sisi hoe hae una yumba😄😄
wewe sio hohe hahe tena 😂Mzee hapo kwenye ku charge Kutokana na Gharama za mradi.
👉Kwa sisi hoe hae una yumba😄😄
Kaka mi jobless pro max 🤒, nime uliza ili kuji funza tu😄wewe sio hohe hahe tena 😂
hayo maneno ya kihuni unayumba uyaache ukifungua kiwanda niite niwe mweka hazina wa kampuni🤣
Mzee uta pata ng'ombe 1 wa maziwa, Kumbuka sisi ni familia😄.Tuta bargain ukiwa tayari
Nitakufanyia bei ya kizawa, ukishindwa kabisa nitakwambia unipe hisa (shares tu) 🤗
Na urudi sasa😄😄ngoja nitarudi
Labda tuanzishe biashara ya shada😄😄😄.wewe sio hohe hahe tena 😂
hayo maneno ya kihuni unayumba uyaache ukifungua kiwanda niite niwe mweka hazina wa kampuni🤣
🤣🤣 na dabo kikiLabda tuanzishe biashara ya shada😄😄😄.
👉Maneno ya kihuni😄🏃🏃, mi mwana mtaa bhana
Sema ulale Jamaa angu😄😄🤣🤣 na dabo kiki
sina usngz mkuu yaan acha tuSema ulale Jamaa angu😄😄
Kula shada arifu😄😄sina usngz mkuu yaan acha tu
nmekula sana toka saa 6 mkuu afu usngz hauji akili haitaki kutulia nmechat mpka bundle limekata nimejilazmsha kulala wee usngz hauji 🤣🤣 huu mwaka mgumu sanaKula shada arifu😄😄
Soma vitabu, check movies, cheza game.nmekula sana toka saa 6 mkuu afu usngz hauji akili haitaki kutulia nmechat mpka bundle limekata nimejilazmsha kulala wee usngz hauji 🤣🤣 huu mwaka mgumu sana
dah sna tv geto mkuu apo solution n kupata link moja tuSoma vitabu, check movies, cheza game.
👉Nenda toilet ka rap😄
Upo sahihi hii tunaita MAONO (Vision) ni wachache sana wanao ona mbali. Ndo maana huwa nasema utajiri ni Spiritual thing lazima kuwe na Maono!Nauliza for future use, kwani Kuna kosa Kwenye kuji funza
Thanks mkuu, kiukweli nime kuwa naji wazia na kuji pangia makubwa.Upo sahihi hii tunaita MAONO (Vision) ni wachache sana wanao ona mbali. Ndo maana huwa nasema utajiri ni Spiritual thing lazima kuwe na Maono!
Ni wapuuzi wachache watakuja na kejeli hapa
Lakini mkuu hichi unachokipa maono unakwenda kufanikiwa haijalishi inahitaji mtaji kiasi gani! Ulimwengu wa roho ukipiga tiki thats what is going to happen.
Saa nyingine mtu anaweza onekana kichaa kwa kuleta wazo fulani kubwa lakini hawajui ili uweze fanikiwa ni lazima wengine wakuone kichaa kumbe ndo unaenda hivo.
Mimi nikimuonesha mtu Vision yangu anaweza niita kichaa lakini hajui kwamba nimeshapiga hesabu wapi pesa itapatikana na ulimwengu wa roho ulishapiga TIKI kubwa kinachosubiri ni utekelezaji tu.Sometimes to know your situation you must Dive in the spiritual realm huko ndo mambo yote unayoona mwilini yanakoanzia.
BIG UP lazima tukate the Chain of Poverty kwenye jamii zetu.
Mkuu Utafanikiwa! Japo vita yake sio ndogo maana shetani Mpuuzi sana ameshaliona kuwa unataka kuja kufanya nini na utakua nani anajua kwahiyo atakuja na vipingamizi vya kukukatisha tamaa.Thanks mkuu, kiukweli nime kuwa naji wazia na kuji pangia makubwa.
Since Nikiwa chalii mdogo tu.
Mambo haya yaki timia, IPO siku nita simama na kusema kuwa - I made it through belief and courage.
Umasikini lazima tuupinge, nime jiwekea baadhi ya vitu sito fanya.
Mpaka angalau nitoboe, maana cycle ya Umasikini mbaya mnoo