Na mimi nilijiuliza hiki kiwanda cha kusindika punda kina ranch?Hali ya mnyapunda ambae ni maarufu kwa kumsaidia binadamu hasa wafugaji kufanya kazi hasa kubeba mizigo na kilimo iko hatarini kutoweka kutokana na wachina wanaosindika nyama ya punda Dodoma.
Wafugaji kwa sasa wanajikuta katika wakati mgumu kwani punda wao wamekua wakiibiwa kwa kasi kubwa kutokana na uhitaji mkubwa wa nyama hii kiwandani.Lakini pia kuna mashaka makubwa nyama hii tukawa tunauziwa humu nchini wakati sisi kula nyama ya punda sio utamaduni wetu.
Leo kupitia taarifa ya habari ITV limekamatwa Lorry limejaa punda huko Naberera simanjiro inasemekana wanapelekwa kiwandani Dodoma kusindikwa nyama.
Tatizo lako wewe huoni umuhimu wa hawa punda na hata wakiisha wote kwako ni sawa tu.Mimi nimeishi mazingira yakifugaji,unachotakiwa kufahamu idadi ya punda sio kubwa sana.Sasa mnataka mipunda iwe mingi kiasi gani? Acha wachina wasindike. Kama wewe huli wengine wala na pesa inatengenezwa nje nje. Laleni tu
AlirudishwaAliekifungia alifukuzwa kazi wakakifungua
Unacheza na hela
Mkuu kwani mara ya mwisho Mishkaki umekula lini? Nadhani jibu umeshipata hapo
Bila shaka we n wa Singida hahahaPunda na ng'ombe ni sawa tu, acha wasiwasi dogo
We acha tu mzee baba tena mishkak yenyewe inavyotiwa viungo dooh ni ngum kujua ni nyama ya aina ganMkuu kwani mara ya mwisho Mishkaki umekula lini? Nadhani jibu umeshipata hapo