kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Wangeanza na biashara ya nyama ya sungura,paka wote mjini usingewaona!
HahahahaInaitwa mishikaki ya paka 😀😀😀
tunakula hapa hapa dodoma na nyingine inauzwa nje ya nchi
Huku maeneo ya chuo UDOM kuna vijiji wanachinja punda na analiwa kama kawaida
Wanavyolia vile kama vyuma vinasaganaIla nyama yake inaonekana ni tamu sanaa