Kiwanda cha Nguo cha 21st century, Morogoro kinaungua

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
14,804
11,800
Habari za Uhakika kutoka TBC radio Kiwanda cha Nguo cha 21ST Century chenye record ya kuungua ungua mara kwa mara ili walipwe na bima kimeanza kuungua tokea saa tisa alfajili hadi sasa moto unaendelea kuwaka kwa kasi na mwingi maeneo ya viwandani.

Dewujiii vipi baba au umeambiwa kiwanda kinatakiwa kirejee kwa serikali? maana nasikia uzalishaji wake ni wa kimagirini... zamani kiwanda kiliitwa kiwanda cha Polyester
 
Npo moro kinaungua moshi umetanda kihonda maeneo ya kihonda ila mida hii umesha zimwa
 
hahaha dah kwa kuitumia tbc kufikisha habari ni taabu wachahche watapata habari hii
 
Muhahahahaha... ndio hivyo inasikika ila sio full time watu wanajua kuhamahama radio during a day huwezi sikiliza one station siku nzima
 
Npo moro kinaungua moshi umetanda kihonda maeneo ya kihonda ila mida hii umesha zimwa
Kama umezimwa ni jambo jema... bora kusiwe na madhara kwa Binadamu tu... Tupia tupia Picha mkuu
 
Du.! Fire wako wapi?au magari hayana maji.
Hii serikali nyingine, wamezoea kupiga hela za bima makusudi kwa kushirikiana na Bima. Yaani kuna watu hadi leo hawajamwelewa Magufuli. Wajifunze kwa Madabida. Acha tuisome namba ila Magufuli kwa wale tunaomwelewa tumpe big up.
 
Ameona kuendelea kukwepa kodi haiwezekani, kaamua achome alipwe bima yake asepe, canada au London hawa ndio wahindi bana hawajawahi kuipenda TZ hata siku moja ni kuchumia tumboni mwao tu.
 
Police ni wengi sana maeneo hya na magari ya washa washa yapo hp nafs ya kusogea krb na kupga pcha hakuna naona wanhd matumbo joto
 
Habari za Uhakika kutoka TBC radio Kiwanda cha Nguo cha 21ST Century chenye record ya kuungua ungua mara kwa mara ili walipwe na bima kimeanza kuungua tokea saa tisa alfajili hadi sasa moto unaendelea kuwaka kwa kasi na mwingi maeneo ya viwandani.

Dewujiii vipi baba au umeambiwa kiwanda kinatakiwa kirejee kwa serikali? maana nasikia uzalishaji wake ni wa kimagirini... zamanikiwanda kiliitwa kiwanda cha Polyester
una maana wanafanya makusudi kuunguza kiwanda??//
 
Mleta mada amesema kiwanda hiko kina rekodi ya kuungua mara kwa mara ili fidia ilipwe, je! ni kweli kwamba kiwanda hicho kinaunguzwa kwa makusudi?
 
Habari za Uhakika kutoka TBC radio Kiwanda cha Nguo cha 21ST Century chenye record ya kuungua ungua mara kwa mara ili walipwe na bima kimeanza kuungua tokea saa tisa alfajili hadi sasa moto unaendelea kuwaka kwa kasi na mwingi maeneo ya viwandani.

Dewujiii vipi baba au umeambiwa kiwanda kinatakiwa kirejee kwa serikali? maana nasikia uzalishaji wake ni wa kimagirini... zamani kiwanda kiliitwa kiwanda cha Polyester
 
Duh hivi 'polyster' bado ipo.. Nlidhani kishakufaga.. Maana Moro ukiongelea kiwanda cha nguo watu wanakijua Mazava tu
Si ndio kilinunuliwa na na Dewji na kikapewa jina hilo la 21st Century
 
Back
Top Bottom