Kiwanda cha kutengenezea mifuko ya plastiki

Kiwanda cha kutengenezea mifuko ya plastiki

kuna ubunifu mwingi tu unaweza kufanyika. Serikali ipige marufuku bidhaa hizo. Atakaekamatwa anatumia mifuko hiyo jela miezi mitatu.
2/ Kampuni ya kutengeneza khanga itengeneze cheap mifuko ambayo inaweza kutumika kama mbadala wa mifuko hiyo. Kampuni hizo zinaweza hata kutumia reject khanga au vitenge kwa shughuli hizo. But ili haya yaweze kutkelezeka Januari Makamba apelekwe Wizara nyingine. Ni Msomi mzuri lakini kwa hili kashindwa. Walau Makonda anakuja na mbinu zitakazoweza kutatua tatizo hili eg wazo la kutumia vijana wa JKT katika kusafisha jiji letu (including hiyo bidhaa iliyolaaniwa ya plastiki!)
Limfuko la kanga tena mkuu?
Sasa nikitaka kufanya packaging yangu,kanga inaweza kudisplay product tangu kweli?.
 
Limfuko la kanga tena mkuu?
Sasa nikitaka kufanya packaging yangu,kanga inaweza kudisplay product tangu kweli?.
tafuta eco friendly packaging, nenda na wakati bhana! mi product zako sinunui ng'o hadi hapo utakapokuja na packing mbadala.
 
Back
Top Bottom